Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Maisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja....
Yapo mengi yasiyosemwa lakini kujifunza always kupo. Lakini kukiri hadharani huwazi kujifunza kwa fulani kwa sababu fulani fulani ni uzwazwaUsajili wa wanachama (fans engagement), kushirikisha taasisi za fedha i.e Banks kwenye biashara ya football, kushirikisha kampuni za Bima, kushirikisha shirika la ndege la Taifa etc...
Tuwe makini na viongozi wetu kwa kujaribu kutuaminisha mambo ambayo siyoMakolo shida sana. Yaani bila haya wanasema TP wamekuja kumfata Aziz KI na sio kujifunza kwa Yanga. Ujinga ni kama kipaji unajua.
TP wana akili, wanajua mtu unaweza kujifunza kitu hata kwa junior as long as huyo junior anafanya vizuri na unaona kabisa kuna vitu amemuzidi.
Mioyoni mwa koloz wanaamini kabisa kwa miaka 3 hii Simba ni wazuri kuliko Yanga ila tu
1. Yanga anapendelewa
2. Kidogo viongozi wao sio
3. Yanga anatumia bahasha
Hawataki kabisa kukubali kuwa mafaniko ya timu huwa ni circular motion, timu hupanda na kushuka. Timu ikishuka ni lazima ku recall na kujifunza. Kwa sasa nyie Simba kubalini mpo kiwango kibovu, mki admit hili itawapa nafasi ku overhaul mikakati yenu kenge nyinyi. Sio kila kitu mnakitafutia sababu tu. Viongozi wenu wana take advantage ya akili zenu mbovu.
Ndio ujiulize wewe wanapigwa msasa pale Jangwani. Mpeleke Mangungu notebook na kalamu atavikuta ukoukoMszembe ana hadi uwanja wake sijui amekuja kujifunza nini?
If you do not learn you will not earnMaisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja.
Haya mwenye makombe yake matano cha CAF CL amekuja kujifunza namna ya kuendesha timu ya mpira kwa ambaye hana hata ilo kombe.
Haina maana haya ni mafanikio ila tushirikishe bongo viongozi wetu wanapotaka kutuaminisha kuwa runners up ni mafanikio ya kukufanya utambe kila kona. Robo fainali sio mafanikio.
SOMA
- TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga
perspectives za watu wote zikiifanana, ujue kuna shida kubwa mno mahaliYapo mengi yasiyosemwa lakini kujifunza always kupo. Lakini kukiri hadharani huwazi kujifunza kwa fulani kwa sababu fulani fulani ni uzwazwa
Endeleeni hivyo hivyo at least huo ubishi ndio mafanikio yenu kwa msimuMszembe ana hadi uwanja wake sijui amekuja kujifunza nini?
Kwa hio wewe una akili kuliko hao Mazembe?Mwanafunzi anayepata A ya somo la Geography anaenda kujifunza kwa yule anayepata C kwenye somo hilo kwenye kila mtihani?
Sitaki kuamini kuwa TP Mazembe imekuwa na viongozi vilaza kiasi Cha kwenda kujifunza kwa Utopolo.
Sijawahi kumsikia Barcelona wakienda kujifunza kwa Napoli. 🤣😆
Uwanja hata Gwambina wanao nendeni mkajifunze basiMszembe ana hadi uwanja wake sijui amekuja kujifunza nini?
Nakupa Tano kubwaUsajili wa wanachama (fans engagement), kushirikisha taasisi za fedha i.e Banks kwenye biashara ya football, kushirikisha kampuni za Bima, kushirikisha shirika la ndege la Taifa etc, ni miongoni mwa masuala yanayovutia watu wa mpira kujifunza.
Football beyond football ni jambo gumu kulifanya kwa vitendo. Yanga walijifunza baadhi ya haya mambo huko Hispania. TP Mazembe wameona sio vibaya kuwauliza Yanga wamewezaje....
Bila shaka kuna mengi yasiyosemwa ambayo Yanga inajifunza kwa TP Mazembe.
Nikusqidie kitu Mazembe inachqkujifunza mengi tu kwa Yanga ...umbumbumbu wako ndio unakusumbua..Mazembe ilikua timu ya kanisa ..ikachukuliwa na Katumbi , sasa Katumbi anataka iwe timu yenye wanachama waliosajiliwa na sio mashabiki tu ...Mwanafunzi anayepata A ya somo la Geography anaenda kujifunza kwa yule anayepata C kwenye somo hilo kwenye kila mtihani?
Sitaki kuamini kuwa TP Mazembe imekuwa na viongozi vilaza kiasi Cha kwenda kujifunza kwa Utopolo.
Sijawahi kumsikia Barcelona wakienda kujifunza kwa Napoli. 🤣😆
Unaijua historia ya Mazembe vzr ? Muwe mnakubali kujifunza nyie watanzania wajinga wajingaMszembe ana hadi uwanja wake sijui amekuja kujifunza nini?
Historia ukiijua wewe inatoshaUnaijua historia ya Mazembe vzr ? Muwe mnakubali kujifunza nyie watanzania wajinga wajinga