Wenye chama waokoe chama chao au waache aende nacho shimoni

Wenye chama waokoe chama chao au waache aende nacho shimoni

Fifteen

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
620
Reaction score
817
Habari wakuu,

Kiukweli kwa hali iliofikia mtaani chama kinakufa kwa kasi kweli lakini ukiangalia kwa undani raia wanamchukia yeye kuliko chama ila siku zinavonzidi kwenda na chama kinaanza kuchukiwa .

Kuliko kuendelea kumlamba miguu mpaka wakaenda nae shimoni ni bora wafanye jambo mapema waokoe chama kama walivo okoa 2015 lakini round hii hali ni mbaya zaidi labda wewe wame kaza shingo tu hawataki kuona wala kusikia
 
Kwakweli ccm sio tatizo kuliko Ssh aliyegeuka laana kwa watu, wanyama na mimea. Nashindwa kuelewa why hawamfanyii inavyopaswa ili zimwi huyu aondoke kuzimu?
Hawajachelewa bado wanaweza kuokoa chama chao kabla haijawa too late
 
CCM kumejaa ubaguzi ,katiba inasema WAGOMBEA watatu lakini Leo fomu anachukua mtu mmoja ???
 
Ukiwa CCM huna option bali ni kusikiliza meza kuu chini ya Mwenyekiti inasemaje ili ufuate bila shuruti.
 
Back
Top Bottom