#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

We huwezi kuja pata covid wala Blood Pressure....wala stroke
ila kitu kitakachokusumbua ni acid tumboni..
0- hii kitu inawasumbuaga sana....
Ndomana naipenda sana jf najifunza vingi na vingi vinauharusia acid ndo inanisumbua ila kuumwa sijawahi ila ninachangamoto moja nikienda sehemu mpya ntaumwa mara moja then baaas toka nije dar nikipigwa na maralia ila toka hapo mwaka wa nane huu nikienda hospital kupima ukimwi nikitembea na demu simuelewielewi na sikutwi na ngwangwa
 
Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.

Ila skuli huwa wanapata 0% kwenye papers, Mungu hampi mtu kila kitu.
 
Hebu nipeni elimu kuhusu hiyo acid tumboni unajisikiaje sikiaje yaani au inakuwaje kuwaje yaani mtu kujua anasumbuliwa na acid tumboni?
 
Wewe umejuaje?
 
Fanya direct injection ya infected blood, in three month jipime, usiende hata hospitali.
Mbona hilo lilishanikuta, ndio maana nakwambia hivyo, hiyo sio kama ni dhana bali lipo kitaalam ni waliniambia nirudi hospital kila baada ya miezi 3, kwa muda wa miezi tisa!!mfululizo sasa huu ni mwaka wa 8!!!
 
Una o- ? Tunaweza rudia hako kamchezo ka direct injection tena kama hutojali?
 
Siyo kuni O tu ni O-.
 
We huwezi kuja pata covid wala Blood Pressure....wala stroke
ila kitu kitakachokusumbua ni acid tumboni..
0- hii kitu inawasumbuaga sana....
Uko sahihi,wengi wao matumbo yao hayana utulivu..na ukiweka kitu tu kisichoeleweka ni chaap kukimbiza mwenge..
 
Una o- ? Tunaweza rudia hako kamchezo ka direct injection tena kama hutojali?
Yaaa!!!kama una lengo la kiutafiti haina shida, ni suala la makubaliano tu, kwani hata hao waliofanya hivyo hawakuwa ni kwa kujifurahisha tu, kuna kitu bado wanakitafuta!!kama una ufahamu wowote juu ya mambo ya tiba, utakuwa umenielewa.
 
Hamnaga hiyo kitu.

Ni lazima upimwe sababu ni Faster Sana.

Dokta hawezi kusikiliza maneno yako kwenye kuongeza damu kwa sababu wakikosea "Inaclot" na shughuli inaishia hapo unamfuata shujaa
Anamfuata Shujaa..[emoji23] hupendi amani kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…