#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

unaweza ukajipima mwenyewe kama mimba.....Kuna App yake unaweza ukaipakua toka kwenye Playstore.....CeliApp
toka nimeanza first year ...medical field mpk namaliza nipo mtaani ndo nasikia hilo leo .....
labda nimepitwa na wakati ila kiufupi hicho kitu hakipo.
 
tunahitaji ushahidi tu kujiridhisha. kwa maoni ya jumla ni kwamba grup hili halisumbuliwi na vimagonjwa vidogovidogo. lakini kumbuka kuna vigezo vingi vinavyopelekea UVIKO kukumaliza. suala si kuwa na damu O pekee, vipi afya yako kabla ya kukutana na UVIKO? Unaweza kuta ushajichokea na kisukari ama ngoma yako kitaambo, kisha ujigambe una grup O mbele ya UVIKO....UNAJIDANGANYA
It applies normal state.
 
Jipeni matumaini hewa...

Hiyo research haijawahi kuwa conclusive
 
Za mbuzi au kuku
Wazee wa O tupo,wakati Covid inaanza nilishawai kumuhudumia mgonjwa wa Covid kwa kumbeba na kumpakia kwenye ndinga yake kumpeleka hospitali,nashkuru mimi sikudhurika kwa chochote mpaka sana naendelea kutafuna nyama za kienyeji na za kishua.
 
Sio kweli watu hawa ni special sana yaani magonjwa sio changamoto.
Hawanaga nguvu za kiume hao, daily wanashinda kwa Mwamposa wakipaka mafuta ya upako nyeti zao ili ziimarike lakini wapi, wakitoka huko wanaenda kwenye vumbi la Kongo lakini wapi . Baada ya hapo wanaenda kunywa mchuzi wa pweza lakini wapi.....
Wakipiga kamoja ngoma inaahtuka Tena next weekend
 
Lakini kuna utafiti ulifanyika wuhan China upo kwenye huu uzi umethibitisha ivo.
Endeleeni kujidanaganya Elimu ni tatizo sana Afrika wahuni wametupa mitala yao hata haitusaidii kitu tumekua wapiga ramli kwenye magonjwa...
 
Ndio ivo kuna daktari jana nilikaa nae aliniambia ivo ,anasema wengi wenye group O wanaweza kupata Corona lakini haiwasumbui sana,na wanaweza kupata mpaka wanapona hawajui kama walipatwa na Corona.
Mimi nina O- ila Covid niliumwa ile phase 1 kwakweli haikunisumbua kias cha kukosa usingizi wala kushindwa kufanya kazi zangu! Nilitumia Tangawizi na Malimau pamoja na vitunguu swaumu kwa siku 3 tu nikawa nimepona kabisa.
 
Na viroboto na funza wanaokaa mwilini wanapenda sana watu wa group O.
Leo ndo nimejua hii kitu, mimi ni group 0-, acid huwa inanisumbua sana, ila kwenye mbu sasa, mbu wanatushambulia balaa, unaweza kaa na mtu mwingine sehemu yenye mbu na wala hata asijitikise ila wewe sasa, mbu wanakushambulia balaa.
 
Uyu ata utafiti hafuatilii ,muongo kabisaa
mkuu jitahidi walau kusoma vitabu ndo uje hi hii hoja. Unachosema si kweli yaani ni bonge la uongo. Nauita uongo maana unapotosha wengine.
 
Mimi O+ nasumbuliwa sana na acid iliyonipelekea kupata ulcers (ambayo hata hivyo nimepona). Pia ni mhanga wa mafua mara kwa mara, ila nikikaa sehemu za baridi siumwi kabisaa hayo mafua. Vinginevyo sina magonjwa mengine.
Nimewahi kutembea na mtu HIV+ bila ndomu zaidi ya mara 5 pekupeku na nipo negative kama miaka 6 nyuma.
 
Back
Top Bottom