#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.
So tu kuwa wenye Damu iliyobarikiwa ya Group O ( GENTAMYCINE ) niliyonayo hatuugui tu UVIKO 19 ( COVID 19 ) bali hata tu Kuathirika na UKIMWI ( Dally Kimoko ) nayo ni ngumu na pia tuna desturi pia ya Kuishi miaka mingi duniani kwakuwa Magonjwa mengi huwa yanatuogopa sana Kutuingia Miilini mwetu ( kwetu )
 
O negative ni habari nyingine hawasumbuliwi hata na stroke wala blood pressure.....
lakin huwa wengi ni vichaa

'''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
Per the results of a study published in Neurology, people with this blood type are at an 82% higher risk of developing cognitive and memory problems that lead to dementia. In fact, those with blood type O may have lower risks of stroke and heart attack, which can lead to cognitive impairment.
 
Kama umelipa hiyo isiyozidi 20000 kupima grup la damu bc nakupa pole.
Mimi nilipima mara tatu sehemu tofauti wakati tofauti na nina group 0+
sehemu ya kwanza na ya pili ni kwenye kuchangia damu na sehemu ya tatu ya binafsi wakaniambia kupima ni 5000 ila nikalia-lia pale wakanipima kwa 3000.
Ni kwamba kupima damu sehemu zote haizidi 5000
Alipigwa kwa 20000,kawaida huwa ni elfu mbili tu, ukikutana nawenye tamaa inaenda mpk 5000
 
Leo ndo nimejua hii kitu, mimi ni group 0-, acid huwa inanisumbua sana, ila kwenye mbu sasa, mbu wanatushambulia balaa, unaweza kaa na mtu mwingine sehemu yenye mbu na wala hata asijitikise ila wewe sasa, mbu wanakushambulia balaa.
Utakua si group O wewe,group O mbu mpaka anasema ametosheka damu.

Kuna baba yangu mdogo hana Malaria Tangu 1998 na anaishi Maisha ya ajabu sana,ila pia ni Masai sa sijui alikula dawa za wamasai zile maana nao sionagi malaria ikicheza nao
 
Utakua si group O wewe,group O mbu mpaka anasema ametosheka damu.

Kuna baba yangu mdogo hana Malaria Tangu 1998 na anaishi Maisha ya ajabu sana,ila pia ni Masai sa sijui alikula dawa za wamasai zile maana nao sionagi malaria ikicheza nao
Mmasai auliwe na malaria????? Haipo hiyo

TB tu ndio ugonjwa unaowasumbua wamasai hasa wa mjini kwasababu ya kunywa maziwa yasiyochemshwa

Magonjwa mengine hata cancer sijawahi kuexperience kwa hao watu
 
Back
Top Bottom