#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

Ni rahisi sana hafiki ata 20,000/= ni muhimu sana kujua hili siku ata umepata ajali unaweza kumwambia dactor blood group lako wakakuongezea bila ata kukupima ikiwa umepoteza damu nyingi.
5,000 nimepima mwaka jana
 
Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.
Mimi nina O- ila Covid niliumwa ile phase 1 kwakweli haikunisumbua kias cha kukosa usingizi wala kushindwa kufanya kazi zangu! Nilitumia Tangawizi na Malimau pamoja na vitunguu swaumu kwa siku 3 tu nikawa nimepona kabisa.
 
Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.
Group O wanalisingizia sana.
 
We huwezi kuja pata covid wala Blood Pressure....wala stroke
ila kitu kitakachokusumbua ni acid tumboni..
0- hii kitu inawasumbuaga sana....
Leo ndo nimejua hii kitu, mimi ni group 0-, acid huwa inanisumbua sana, ila kwenye mbu sasa, mbu wanatushambulia balaa, unaweza kaa na mtu mwingine sehemu yenye mbu na wala hata asijitikise ila wewe sasa, mbu wanakushambulia balaa.
 
Kama umelipa hiyo isiyozidi 20000 kupima grup la damu bc nakupa pole.
Mimi nilipima mara tatu sehemu tofauti wakati tofauti na nina group 0+
sehemu ya kwanza na ya pili ni kwenye kuchangia damu na sehemu ya tatu ya binafsi wakaniambia kupima ni 5000 ila nikalia-lia pale wakanipima kwa 3000.
Ni kwamba kupima damu sehemu zote haizidi 5000
Hata wewe ulipigwa kupima ni buku 2 tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Story za vijiweni hizi... Group O la damu ndilo lenye watu wenhi zaidi duniani. Kuhusu magonjwa haina uhusiano na blood group bali seli hai za damu
mkuu jitahidi walau kusoma vitabu ndo uje hi hii hoja. Unachosema si kweli yaani ni bonge la uongo. Nauita uongo maana unapotosha wengine.
 
Labda ni kweli mimi last week nmejikuta na kila dalili ya covid plus kutoka damu puani ila leo nadunda zangu mzima kabisa. Na sijatumia dawa yoyote.

Na hapo kuna mkoa nilikua nazunguka, nahisi ndipo nilipokutana nayo.

Ila siamini sana kama hatuipati sema tu tunaishinda kirahisi
 
Ni rahisi sana hafiki ata 20,000/= ni muhimu sana kujua hili siku ata umepata ajali unaweza kumwambia dactor blood group lako wakakuongezea bila ata kukupima ikiwa umepoteza damu nyingi.

Hamnaga hiyo kitu.

Ni lazima upimwe sababu ni Faster Sana.

Dokta hawezi kusikiliza maneno yako kwenye kuongeza damu kwa sababu wakikosea "Inaclot" na shughuli inaishia hapo unamfuata shujaa
 
Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.
Does blood type affect the risk of severe illness from COVID-19?

In fact, the findings suggest that people with blood type A face a 50 percent greater risk of needing oxygen support or a ventilator should they become infected with the novel coronavirus. In contrast, people with blood type O appear to have about a 50 percent reduced risk of severe COVID-19.
 
Back
Top Bottom