#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

Ni rahisi sana hafiki ata 20,000/= ni muhimu sana kujua hili siku ata umepata ajali unaweza kumwambia dactor blood group lako wakakuongezea bila ata kukupima ikiwa umepoteza damu nyingi.
Wapata wapi uwezo wa kuongea ukipoteza damu nyingi?
 
Kama umelipa hiyo isiyozidi 20000 kupima grup la damu bc nakupa pole.
Mimi nilipima mara tatu sehemu tofauti wakati tofauti na nina group 0+
sehemu ya kwanza na ya pili ni kwenye kuchangia damu na sehemu ya tatu ya binafsi wakaniambia kupima ni 5000 ila nikalia-lia pale wakanipima kwa 3000.
Ni kwamba kupima damu sehemu zote haizidi 5000
Sehemu zote?

Agha khan ama ocean road wafanye kazi ya 5000?
 
Tafiti zinaonesha ukanda huu wa Afrika mashariki hasa Tanzania, asilimia kubwa ya watu ni group O+,

NA kwa asia hasa china na japan au kule far east asilimia kubwa ya watu ni group A+,

Bado naendelea kufatilia na maeneo mengine kupoje na kivipi UVIKO unagonga mwamba
 
O negative ni habari nyingine hawasumbuliwi hata na stroke wala blood pressure.....
Ni O+ ndio ipo resistant sana na magonjwa.

Mfano, kuna idadi ndogo sanaa ya watu wenye group hilo waliokufa kwa COVID 19.

Labda wale wazee kabisa waliokuwa tayari ni wagonjwa sanaa
 
Leo nimesikia watu wenye damu group o hawasumbuliwi sana na Corona.Ivi damu group hili ina nn special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta ata magonjwa ya kawaida.
Umesikia wapi jomba?
 
Na wenye O-, kuna baadhi yao hata ukimwi hawawezi pata kamwe!!ila ni kundi la wachache sana!!
Nipo hapa Sina uhakika,lkn naona dalili ya kwenye Koo kama napaliwa hiv niliona hii haki naona kabisa kirona imeingia mwilimu nawahi chai ya limao, na medication nyingine sio kwamba tunakaa tu kusubiri.

Kuhusu ukimwi mkuu summu haijaribiwi
 
Endeleeni kujidanaganya Elimu ni tatizo sana Afrika wahuni wametupa mitala yao hata haitusaidii kitu tumekua wapiga ramli kwenye magonjwa...
 
Magonjwa ya kawaida kweli hayanisumbui, sijajua kwa huyu jamaa covid
Corona ipo group 0 wote tuchukue tahadhari !!
 
Back
Top Bottom