#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

Nakubaliana nao!
The Japanese believe that people with O blood type are generous, passionate, sociable and financially successful and that the best romantic match is found between type O and type A people
 
kipimo cha kujua group la damu kinagharimu kiasi gani maana mpaka sasa sijui group lang la damu.
Ni rahisi sana hafiki ata 20,000/= ni muhimu sana kujua hili siku ata umepata ajali unaweza kumwambia dactor blood group lako wakakuongezea bila ata kukupima ikiwa umepoteza damu nyingi.
Kama umelipa hiyo isiyozidi 20000 kupima grup la damu bc nakupa pole.
Mimi nilipima mara tatu sehemu tofauti wakati tofauti na nina group 0+
sehemu ya kwanza na ya pili ni kwenye kuchangia damu na sehemu ya tatu ya binafsi wakaniambia kupima ni 5000 ila nikalia-lia pale wakanipima kwa 3000.
Ni kwamba kupima damu sehemu zote haizidi 5000
 
Utafiti unaonesha hivyo.

Moja ya paper hii hapa
DOI: 10.1093/cid/ciaa1150

Summary yake hii hapa

Covid-ABO.png
 
Wazee wa O tupo,wakati Covid inaanza nilishawai kumuhudumia mgonjwa wa Covid kwa kumbeba na kumpakia kwenye ndinga yake kumpeleka hospitali,nashkuru mimi sikudhurika kwa chochote mpaka sana naendelea kutafuna nyama za kienyeji na za kishua.
 
Wazee wa O tupo,wakati Covid inaanza nilishawai kumuhudumia mgonjwa wa Covid kwa kumbeba na kumpakia kwenye ndinga yake kumpeleka hospitali,nashkuru mimi sikudhurika kwa chochote mpaka sana naendelea kutafuna nyama za kienyeji na za kishua.
Kifo hana muda na wewe anakuona kama mzigo wa misumari tuu
 
Leo nimesikia watu wenye damu group o hawasumbuliwi sana na Corona.Ivi damu group hili ina nn special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta ata magonjwa ya kawaida.
Hawanaga nguvu za kiume hao, daily wanashinda kwa Mwamposa wakipaka mafuta ya upako nyeti zao ili ziimarike lakini wapi, wakitoka huko wanaenda kwenye vumbi la Kongo lakini wapi . Baada ya hapo wanaenda kunywa mchuzi wa pweza lakini wapi.....
Wakipiga kamoja ngoma inaahtuka Tena next weekend
 
Back
Top Bottom