#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

Hili ni wazo zuri sana la kuanzisha kundi hilo,litasaidia sana kwa kweli..

Tulifanyie kazi..
 
Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.

Si muda mrefu tutasikia wenye damu nyekundu Corona haiwahusu.
 
We huwezi kuja pata covid wala Blood Pressure....wala stroke
ila kitu kitakachokusumbua ni acid tumboni..
0- hii kitu inawasumbuaga sana....
Mkuu kuhusu Acid ndio chanzo kikuu cha maradhi yote unayo yajuwa wewe. Asidi ikizidi mwilini inasababisha upatwe na maradhi mengi mwilini mwako. Na Asidi inasababishwa na ulaji wa vyakula vyenye Asidi nyingi ndio chanzo chake kuzidi mwilini mwako hiyo asidi.👇



 
Hapa ndo mahali sahihi wataalam wa afya wanapotakiwa kujitokeza ili kusafisha hali ya hewa kuhusu kundi O la damu, kuliko watu kureply kwa kusema uzi umejaa ujinga.
 
Ni rahisi sana hafiki ata 20,000/= ni muhimu sana kujua hili siku ata umepata ajali unaweza kumwambia dactor blood group lako wakakuongezea bila ata kukupima ikiwa umepoteza damu nyingi.
Nivema kujua group lako endapo tatizo likitokea la damu inakua rahisi sana kupewa au kuchangia mi O-
 
Blood group O tumebarikiwa sana

Mleta uzi, kuna any study imefanyika? Kama ipo naomba utume hapa tupitie.
Tumebarikiwa kwa machache mkuu sio yote!
Kumbuka ukiwa na blood group O unahatari kubwa mno ya kuambukizwa:-
Kipindupindu,
Kifua kikuu
Mafua yoyote makali. Pia
Kuna hatari ya kupata magonjwa ya Kisukari ,presha na vidonda vya tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…