Wenye div 3 kuachwa jkt ni ishara mbaya

Wenye div 3 kuachwa jkt ni ishara mbaya

mbona walienda wa arts afu kuna watu wa eca hawajaenda..xo kitu hki kwa zamu..na chuo nackia mwezi january

Duuuugh...iz thiz possible????.....lets wait n see mkuu
 
Ya mpango nzima huyo jamaa atakua na 17 wenye sita 6 hawajigambi so hyo kilaza koz mi najua mwenye kujua huwa hajigambi mbele ya watu kumbuka maisha nzunguko hayo maneno hutayameza.
 
Mbona sie wa three science tunaenda depo!! Aaaah nimekumbuka kumbe three ya science ni one ya art

nakukumbuka ulileta uzi humu kuhusu mfagizi na matokeo ya iv 2012 leo umekuja umefikiria tumekusahau we kinyongaa nini leo umekuwa 4m six leaver dah kweli hi ndo bongo na kujitia ujiko
 
nakukumbuka ulileta uzi humu kuhusu mfagizi na matokeo ya iv 2012 leo umekuja umefikiria tumekusahau we kinyongaa nini leo umekuwa 4m six leaver dah kweli hi ndo bongo na kujitia ujiko

Hahaahhahahahahahaha asanteee mkuuu......duuuh jamaa umemkamata pazuri sana.....unajua kuna watu wanapenda kuwafanya wenzao inferior hata sielewi kwanini.....mburula
 
THE SYSTEM OF ELIMINATION,si kweli alyepata one ndo ana akili,kunawatu wana 3 za tisa,pia kuna waliopata one wamekalili na waliopata 4 wamepata maarifa.thats why kweny maisha wanaofanikiwa si weny digree tatu au mbili.angalia matajir wote.KAMA KUFAULU KUNGEKUA NDO KUPATA UTAJIRI BASI MAPROFESA WANGEKUWA MATAJIRI.WENY MAGOROFA KARIB WENGI KARIAKOO HAWANA HATA DIGRII.tafuteni phd mkaajiliwe kweny ofisi za watu wasio na hata digree.pia kuna maprofesa hata banda la vocha hawana wanaishia kukariri vitabu.kwa kumalizia,bongo ukifaulu maana yake ulichosoma kimetoka.
 
kweli bana c unajua chand ya five tu silabasi nzima ya arts had form six.ngoja tupete bana

Cna tatizo na nyie.....ila wapo wanaotamba sana as if ndo tushakuwa na maisha tayar...wanaeza kuja kufa njaa na sayansi yao mi nkaja kula kiyoyozi....maisha hayana formulae
 
Cna tatizo na nyie.....ila wapo wanaotamba sana as if ndo tushakuwa na maisha tayar...wanaeza kuja kufa njaa na sayansi yao mi nkaja kula kiyoyozi....maisha hayana formulae

kuna ticha mmoja hv ye alipiga pgm alaf akapataga iv alivyokuwa anawapa wanascience morali utafkiria yeye anapata sana mpunga kwa pgm yake wakat anachafuka na chaki kwa diploma yake ya Ed.
 
nakukumbuka ulileta uzi humu kuhusu mfagizi na matokeo ya iv 2012 leo umekuja umefikiria tumekusahau we kinyongaa nini leo umekuwa 4m six leaver dah kweli hi ndo bongo na kujitia ujiko
sa kwani we unataka nini au swali lako lipi? au kufika form six imekuwa ndio ujiko?
 
Utoto unakusumbua wewe
Mtakoma na mathree
yenu sidhani kama hata mkopo na vyuo mtapata ngoja mi na two yangu safi
tena ya sayansi niende zangu kambi ya kigoma nikale kwata langu la
nguvu,masomo yenu rahisi lakini bado mnapata three! Teh teh teh kuanzia
tar 25 juni ukiona fm6 mtaani ujue kala four au zero nikisema zero hapo
naomba mnielewe nime include hadi three za art kwi kwi kwi!
 
Hebu waacheni wakapigishwe kwata;kichwa chini miguu juuuu!!.Nahic kunawengine watarudi ni vilema,ngoja c tule bata.
 
mnaenda kwa zamu... mwezi wa tisa arts mnakwenda
 
jeshin kila mtu ataenda..mkopo hausian kabisa na jkt..
 
Back
Top Bottom