Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
THE SYSTEM OF ELIMINATION,si kweli alyepata one ndo ana akili,kunawatu wana 3 za tisa,pia kuna waliopata one wamekalili na waliopata 4 wamepata maarifa.thats why kweny maisha wanaofanikiwa si weny digree tatu au mbili.angalia matajir wote.KAMA KUFAULU KUNGEKUA NDO KUPATA UTAJIRI BASI MAPROFESA WANGEKUWA MATAJIRI.WENY MAGOROFA KARIB WENGI KARIAKOO HAWANA HATA DIGRII.tafuteni phd mkaajiliwe kweny ofisi za watu wasio na hata digree.pia kuna maprofesa hata banda la vocha hawana wanaishia sure man, yan bongo akuna elim ya madaftar bali c ya curiosity
THE SYSTEM OF ELIMINATION,si kweli alyepata one ndo ana akili,kunawatu wana 3 za tisa,pia kuna waliopata one wamekalili na waliopata 4 wamepata maarifa.thats why kweny maisha wanaofanikiwa si weny digree tatu au mbili.angalia matajir wote.KAMA KUFAULU KUNGEKUA NDO KUPATA UTAJIRI BASI MAPROFESA WANGEKUWA MATAJIRI.WENY MAGOROFA KARIB WENGI KARIAKOO HAWANA HATA DIGRII.tafuteni phd mkaajiliwe kweny ofisi za watu wasio na hata digree.pia kuna maprofesa hata banda la vocha hawana wanaishia kukariri vitabu.kwa kumalizia,bongo ukifaulu maana yake ulichosoma kimetoka.
]<br>
-lazima u-feel upo isolated na three yako ya art,acha sisi tukakate magogo and then 100% mkopo unatuhusu,nenda kacheze viduku tu arts mzima unapata div-three
Hahaha we endelea kuota ndoto zajo za mchana mchana.....umepelekwa depo na heslb????.......mkopo ni kwa wasiojiweza na sio waliofaulu
Pole kwa kupata II,wenzio wanachekelea na I zao tena za point 6.