Mbona sie wa three science tunaenda depo!! Aaaah nimekumbuka kumbe three ya science ni one ya art
nakukumbuka ulileta uzi humu kuhusu mfagizi na matokeo ya iv 2012 leo umekuja umefikiria tumekusahau we kinyongaa nini leo umekuwa 4m six leaver dah kweli hi ndo bongo na kujitia ujiko
Hahaahhahahahahahaha asanteee mkuuu......duuuh jamaa umemkamata pazuri sana.....unajua kuna watu wanapenda kuwafanya wenzao inferior hata sielewi kwanini.....mburula
kweli bana c unajua chand ya five tu silabasi nzima ya arts had form six.ngoja tupete bana
Cna tatizo na nyie.....ila wapo wanaotamba sana as if ndo tushakuwa na maisha tayar...wanaeza kuja kufa njaa na sayansi yao mi nkaja kula kiyoyozi....maisha hayana formulae
]<br>Si kama nataka kwenda ila na feel isolated...nahisi kutengwa na serikali yangu
lazima u-feel upo isolated na three yako ya art,acha sisi tukakate magogo and then 100% mkopo unatuhusu,nenda kacheze viduku tu arts mzima unapata div-three
sa kwani we unataka nini au swali lako lipi? au kufika form six imekuwa ndio ujiko?nakukumbuka ulileta uzi humu kuhusu mfagizi na matokeo ya iv 2012 leo umekuja umefikiria tumekusahau we kinyongaa nini leo umekuwa 4m six leaver dah kweli hi ndo bongo na kujitia ujiko
Mtakoma na mathree
yenu sidhani kama hata mkopo na vyuo mtapata ngoja mi na two yangu safi
tena ya sayansi niende zangu kambi ya kigoma nikale kwata langu la
nguvu,masomo yenu rahisi lakini bado mnapata three! Teh teh teh kuanzia
tar 25 juni ukiona fm6 mtaani ujue kala four au zero nikisema zero hapo
naomba mnielewe nime include hadi three za art kwi kwi kwi!
usibweteke na kimbili chako hujui ya mbele,hii dunia itakufunza tu.
]<br>
lazima u-feel upo isolated na three yako ya art,acha sisi
tukakate magogo and then 100% mkopo unatuhusu,nenda kacheze viduku tu
arts mzima unapata div-three