Wenye div 3 kuachwa jkt ni ishara mbaya

mangechukua div 3 arts kambi zisinge tosha kwani ni zaidi ya 20elfu
 
 

Naked truth......kweli tupuuuu
 
Pole kwa kupata II,wenzio wanachekelea na I zao tena za point 6.

Umenikumbusha mbali mkuu, nami nilipa Div One ya 6 points [Betri(ABC)]ya PCB, tena miaka ya zamani sana. Sasa huyo anayelingia Div Two miaka ya sasa,hana jipya anatakiwa ajitathimini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…