Christafari
Senior Member
- Jun 2, 2013
- 117
- 13
watamiss vp kwa 2.5
si ndo hapo huku kuna watu wana 4.0 na wana div 3 za 15.... huyu amekuja kuropoka tu.
4.0 ni 3 ya 14 mheshimiwa
Udom cut off 2.5 watapelekewa hivy vilaza
4.0 ni 3 ya 14 mheshimiwa
Mkuu mi najua kwamb hata Gs ina 0.5 na inaongezwa
kwa mfano mtu kapata D,E,S na gs S hapo ana ngapi????
tafakari.
Mkuu mi najua kwamb hata Gs ina 0.5 na inaongezwa
kwa mfano mtu kapata D,E,S na gs S hapo ana ngapi????
tafakari.
flyn ryder rudi milembe ukamalizie dozi zako...gs kama masomo mengine it is kept under considerations...wakiwa wanahesabu point wanaconsider masomo ma3 uliyofaulu zaidNani kakwambia kama GS inajumlishwa..hakuna kitu kama hicho..watu wanaangalia zile nondo..si hilo ambalo ni creditless
Nani kakwambia kama GS inajumlishwa..hakuna kitu kama hicho..watu wanaangalia zile nondo..si hilo ambalo ni creditless
Kama GS haijumlishwi kwann kuna coarse zna cut point kama 2.5 au 4.5 wakata E ina point 1?
gs haijumuishwi! S=0.5 kwa masomo yote co gs peke yake, kwa mfano ww c umesoma EGM ukipata Eco=E ,Geo=E ,Math=S Gs=f , utakuwa na 2.5! Gs haiesabiwi! Overr