Wenye div 3 ya 15 na kuendelea hii inawahusu

Wenye div 3 ya 15 na kuendelea hii inawahusu

Status
Not open for further replies.

Christafari

Senior Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
117
Reaction score
13
total of 39,140 candidates had applied but TCU confirmed that over 8,000 applicants will miss out.
 
hahahaaha ucombe una 17 alafu una f ya gs.! Patamu hapooooooo
 
nahic ni wale wa jkt hawakufanya marekebisho 2nd round
 
Nani kakwambia kama GS inajumlishwa..hakuna kitu kama hicho..watu wanaangalia zile nondo..si hilo ambalo ni creditless
flyn ryder rudi milembe ukamalizie dozi zako...gs kama masomo mengine it is kept under considerations...wakiwa wanahesabu point wanaconsider masomo ma3 uliyofaulu zaid
 
Last edited by a moderator:
Nani kakwambia kama GS inajumlishwa..hakuna kitu kama hicho..watu wanaangalia zile nondo..si hilo ambalo ni creditless

Kama GS haijumlishwi kwann kuna coarse zna cut point kama 2.5 au 4.5 wakata E ina point 1?
 
Gs,katika kupata cut of point,hii aijumlishwi,,,wanaesabu masomo matatu katika comb.yako.basiiiiiiiiii,:kev:
 
selection teyari ,wanazungumzia wale hambao walikoswa kwenye round ya kwanza,ya pili na wale ambao hawakufanya marekebisho kwenye round zote,yaani walioandikiwa NO kwenye kozi zote,kimsingi bado wanaitaji watu ndo maana wameweka round ya tatu kwa waliokoswa na applicants wapya,kwa hiyo hata unaosema wana div3 ya 15 na kuendelea wana sifa na wameshachaguliwa tayari na vyuo vimeshawaizinisha ,rejea applicants walochaguliwa na st.joseph university wawewekewa matokeo yao kabisa kuna watu wana pts17.
 
Kama GS haijumlishwi kwann kuna coarse zna cut point kama 2.5 au 4.5 wakata E ina point 1?

gs haijumuishwi! S=0.5 kwa masomo yote co gs peke yake, kwa mfano ww c umesoma EGM ukipata Eco=E ,Geo=E ,Math=S Gs=f , utakuwa na 2.5! Gs haiesabiwi! Overr
 
gs haijumuishwi! S=0.5 kwa masomo yote co gs peke yake, kwa mfano ww c umesoma EGM ukipata Eco=E ,Geo=E ,Math=S Gs=f , utakuwa na 2.5! Gs haiesabiwi! Overr

Nadharia za kitoto...huyu ana-point ngap geo=E ,math=E ,eco=F ,gs=s...kikawaida ni 2.5
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom