xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
hao HGE,ECA wenyewe wanafikiriwaaa kusoma hio BE sembuse HGL ya huyo demu wake! Dgo kadanganywaa, demu wake kamuona yy kilazaa
arusha kuna mabilionea wa pesa, nyie mabilionea wa mademu, hongerenidogo unanijua nn? hahaahaaa HGL hasomi Building economics, kusoma hiyo lazima usome Pure math/bam a'level! So jipangee mkuu hao madem zako wamekudanganyaa!! by the way kuna shemeji yako anakuja hapo muhimbili from marian jipangee acje akakuhaibishaaa kijanaaa PAMOJAa sanaa
Coz gan iyo 2.5,udom
Uyo chupi wako bila shaka o'levo nmemkojolea,advance nmemnyea na chuo ntampizia...!!madem wa marian chuo hawana consistance yyte maTO wengi wa marian wakiingia chuo wanatambaa tuu hawana madini ya kutosha hapo ndo unatambua utofauti wa uwezo binafc na money oriented edu
hahahaaaha jidanganyee tuu!! m_a_k_u ww . madem wako wenyewe wa HGL wamekudanganyaa! ww kilazaa tuuu huna jipyaaaa
4.0
by allenmwita

mkuu mi najua kwamb hata gs ina 0.5 na inaongezwa

kwa mfano mtu kapata d,e,s na gs s hapo ana ngapi????

tafakari.

hio gs ni 0.5 xo itakua 3.5
mbna oil sumu amepata...
mbna oil sumu amepata...
Acha kudanganya wenzako je wale wenye A zote tatu huwa wanaandikiwa 15.5 je 0.5 huwa inatoka wapi?Nani kakwambia kama GS inajumlishwa..hakuna kitu kama hicho..watu wanaangalia zile nondo..si hilo ambalo ni creditless
oil sumu It sounds good ukisema udsm-mucemm nimefaulu ndio maana nimepata udsm
oil sumu It sounds good ukisema udsm-muce
Christafari Hapo umewakata maini...teeeteeteehAmbao hamna s za g.s mnajitetea sana. .
mbna oil sumu amepata...
Hihihihi.. Darius leo umenipiga ligi mno japo challenge zako ni za kitoto sana...nahis unajisikia msomi sana unapopata nafas adhimu kama hii ya kuongea na docta...changa-changa pesa ili nikutibu hiyo mental retardation yako inayokusumbua