Wenye div 3 ya 15 na kuendelea hii inawahusu

Wenye div 3 ya 15 na kuendelea hii inawahusu

Status
Not open for further replies.
hao HGE,ECA wenyewe wanafikiriwaaa kusoma hio BE sembuse HGL ya huyo demu wake! Dgo kadanganywaa, demu wake kamuona yy kilazaa

Nafurai xna kuona wana.arts wanavojarib kujisafisha na cozy zao za kienyej.enyej,,nying ambazo hazina tija qwa jamii
 
dogo unanijua nn? hahaahaaa HGL hasomi Building economics, kusoma hiyo lazima usome Pure math/bam a'level! So jipangee mkuu hao madem zako wamekudanganyaa!! by the way kuna shemeji yako anakuja hapo muhimbili from marian jipangee acje akakuhaibishaaa kijanaaa PAMOJAa sanaa
arusha kuna mabilionea wa pesa, nyie mabilionea wa mademu, hongereni
 
Kizaz cha mulugo noma eti gs inajumlishwa teh teh teh nyie jiteteeni tu jaman ila waliokosa chuo na wakaambiwa waapply mara ya tatu wengi wao wapo jkt cjui watawasaidiaje maana na rafiki yangu yumo nikimpigia hapatikan
 
Gs inahesabiwa kama somo moja la msingi umepata F mfano hist D english D na kisw F na gs S hapo gs lazima ihesabiwe na utakuwa na cut-off points 4.5.
 
Uyo chupi wako bila shaka o'levo nmemkojolea,advance nmemnyea na chuo ntampizia...!!madem wa marian chuo hawana consistance yyte maTO wengi wa marian wakiingia chuo wanatambaa tuu hawana madini ya kutosha hapo ndo unatambua utofauti wa uwezo binafc na money oriented edu

hahahaaaha jidanganyee tuu!! m_a_k_u ww . madem wako wenyewe wa HGL wamekudanganyaa! ww kilazaa tuuu huna jipyaaaa
 
hahahaaaha jidanganyee tuu!! m_a_k_u ww . madem wako wenyewe wa HGL wamekudanganyaa! ww kilazaa tuuu huna jipyaaaa

Hihihihi.. Darius leo umenipiga ligi mno japo challenge zako ni za kitoto sana...nahis unajisikia msomi sana unapopata nafas adhimu kama hii ya kuongea na docta...changa-changa pesa ili nikutibu hiyo mental retardation yako inayokusumbua
 
Last edited by a moderator:
Nani kakwambia kama GS inajumlishwa..hakuna kitu kama hicho..watu wanaangalia zile nondo..si hilo ambalo ni creditless
Acha kudanganya wenzako je wale wenye A zote tatu huwa wanaandikiwa 15.5 je 0.5 huwa inatoka wapi?
 
Dah watu umundani mkikosa cha kupost laleni!! Mnaongea upuuzi! Sana

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Hihihihi.. Darius leo umenipiga ligi mno japo challenge zako ni za kitoto sana...nahis unajisikia msomi sana unapopata nafas adhimu kama hii ya kuongea na docta...changa-changa pesa ili nikutibu hiyo mental retardation yako inayokusumbua

hahaahaaha dogo labda ujitibie ww kwanzaa! then uje kwanguuúu! Overrrr
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom