hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
insta kajiunga mwaka huu kwa ajili ya kupromote mavazi na viatu(bidhaa zake anazouza) onlyAcha kudanganya Kanye West ana akaunti Twitter
Leta ushahidi acha kupayukaUna uhakika au unaropoka tu.??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona huyo diamond anawazidi akina p squre followers je ni mkali kuliko akina p squreHakuna sindano hapo mkuu...
Kama ni mkali tokea zamani si angewazidi wengine?
Mitandao si imeawakuta wote?
Au ana depreciate?
Hata views za You Tube huwa anamkuta Mondi?
Hapa swala na Management ndio results zake tunazipima Kwa vitu kama hivi...
Dunia ya sasa useme eti mashabiki wa Moyoni utapotea
Be careful and Current!
Sad!
Uko ukali darasa kauanza lini jaman lohhfollowers sio ishu kwan mkali wa bongo DAraSA anawangapi
nawapenda sana vijana wa kibongo mna muda kweli. badala ya kukaa ukaplan how to win in your life mnakaa kuhesabu nani ana followers wangapi? madness
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...
Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..
What's happening to our King Kiba?
Ukilinganisha muda walioko P squre kwenye game na muda alioko MOND kwenye game,basi MOND yuko juu ya hao P squre na bado wao wapo wawili na yeye ni mmoja na tena wapo kwenye nchi zenye mazingira tofauti ya kimuziki.Mbona huyo diamond anawazidi akina p squre followers je ni mkali kuliko akina p squre
Hakuna sindano hapo mkuu...
Kama ni mkali tokea zamani si angewazidi wengine?
Mitandao si imeawakuta wote?
Au ana depreciate?
Hata views za You Tube huwa anamkuta Mondi?
Hapa swala na Management ndio results zake tunazipima Kwa vitu kama hivi...
Dunia ya sasa useme eti mashabiki wa Moyoni utapotea
Be careful and Current!
Sad!
post za watu zinakuonaje humu?Dah.. Baada ya kuishiwa hoja umekuja na matusi..
Small Mind!
Pathetic..
Waambie mkuu
Mkuu mbona unatokwa povu hivo ........ Anachojaribu kukisema jamaa ni kuendelea kuweka msisitizo tu kuwa MOND YUKO JUU ZAIDI YA KIBA NA KTK VINGI AMBAVYO MOND KAMPITA KIBA BASI KIMOJAWAPO NI LA HILI LA FOLLOWERS, NA HUO NI MSISITIZO TU KUWA MUSIWE MNAMLINGANISHA MOND NA KIBA KWA VILE MOND YUKO MBALI SANA TENA SANA.umeona ulipokamatika
kwa hiyo lengo lako kumfananisha Mond na kiba, ndio maana ulivamiwa hapo
na ni ukike huo, kiba na mond wanaishi maisha yao unabaki kuangalia followers wao
jamaa kakufurahisha, mwisho atasema mond ana hela kuliko p square!!
ha ha
Kati ya mtu mngese niliyewahi kakutana naye hapa JF ni huyo jamaa...Mkuu mbona unatokwa povu hivo ........ Anachojaribu kukisema jamaa ni kuendelea kuweka msisitizo tu kuwa MOND YUKO JUU ZAIDI YA KIBA NA KTK VINGI AMBAVYO MOND KAMPITA KIBA BASI KIMOJAWAPO NI LA HILI LA FOLLOWERS, NA HUO NI MSISITIZO TU KUWA MUSIWE MNAMLINGANISHA MOND NA KIBA KWA VILE MOND YUKO MBALI SANA TENA SANA.
Mkuu mbona unatokwa povu hivo ........ Anachojaribu kukisema jamaa ni kuendelea kuweka msisitizo tu kuwa MOND YUKO JUU ZAIDI YA KIBA NA KTK VINGI AMBAVYO MOND KAMPITA KIBA BASI KIMOJAWAPO NI LA HILI LA FOLLOWERS, NA HUO NI MSISITIZO TU KUWA MUSIWE MNAMLINGANISHA MOND NA KIBA KWA VILE MOND YUKO MBALI SANA TENA SANA.