Wenye Followers wengi 2016.. KIBA HAYUPO TOP 5

Hakuna sindano hapo mkuu...

Kama ni mkali tokea zamani si angewazidi wengine?

Mitandao si imeawakuta wote?

Au ana depreciate?

Hata views za You Tube huwa anamkuta Mondi?

Hapa swala na Management ndio results zake tunazipima Kwa vitu kama hivi...

Dunia ya sasa useme eti mashabiki wa Moyoni utapotea

Be careful and Current!

Sad!
Mbona huyo diamond anawazidi akina p squre followers je ni mkali kuliko akina p squre
 
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...

Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..

What's happening to our King Kiba?

nawapenda sana vijana wa kibongo mna muda kweli. badala ya kukaa ukaplan how to win in your life mnakaa kuhesabu nani ana followers wangapi? madness
 
Haha.. Wewe huo muda wa ku comment hapa umepata wapi? Usha Win?
 
Mbona huyo diamond anawazidi akina p squre followers je ni mkali kuliko akina p squre
Ukilinganisha muda walioko P squre kwenye game na muda alioko MOND kwenye game,basi MOND yuko juu ya hao P squre na bado wao wapo wawili na yeye ni mmoja na tena wapo kwenye nchi zenye mazingira tofauti ya kimuziki.
 
Hakuna sindano hapo mkuu...

Kama ni mkali tokea zamani si angewazidi wengine?

Mitandao si imeawakuta wote?

Au ana depreciate?

Hata views za You Tube huwa anamkuta Mondi?

Hapa swala na Management ndio results zake tunazipima Kwa vitu kama hivi...

Dunia ya sasa useme eti mashabiki wa Moyoni utapotea

Be careful and Current!

Sad!

ndio maana ukaulizwa wewe jinsia gani?

Kama ni rijali, busy, with responsibilities huwezi kupoteza muda kujua followers wa mwanaume mwenzako(kama ww ni me)

ushajifunza, hutarudia tena
 
Dah.. Baada ya kuishiwa hoja umekuja na matusi..

Small Mind!

Pathetic..
post za watu zinakuonaje humu?

kwa nn hukutaja mtu mwingine ila kiba??

ha ha ha bwaaaaa...(in le mutuz style)
 
ndio maana ukaulizwa wewe jinsia gani?

Kama ni rijali, busy, with responsibilities huwezi kupoteza muda kujua followers wa mwanaume mwenzako(kama ww ni me)

ushajifunza, hutarudia tena
We jamaa bana...
 
Ukilinganisha muda walioko P squre kwenye game na muda alioko MOND kwenye game,basi MOND yuko juu ya hao P squre na bado wao wapo wawili na yeye ni mmoja na tena wapo kwenye nchi zenye mazingira tofauti ya kimuziki.
Waambie mkuu
 
Waambie mkuu

umeona ulipokamatika

kwa hiyo lengo lako kumfananisha Mond na kiba, ndio maana ulivamiwa hapo

na ni ukike huo, kiba na mond wanaishi maisha yao unabaki kuangalia followers wao

jamaa kakufurahisha, mwisho atasema mond ana hela kuliko p square!!

ha ha
 
Mkuu mbona unatokwa povu hivo ........ Anachojaribu kukisema jamaa ni kuendelea kuweka msisitizo tu kuwa MOND YUKO JUU ZAIDI YA KIBA NA KTK VINGI AMBAVYO MOND KAMPITA KIBA BASI KIMOJAWAPO NI LA HILI LA FOLLOWERS, NA HUO NI MSISITIZO TU KUWA MUSIWE MNAMLINGANISHA MOND NA KIBA KWA VILE MOND YUKO MBALI SANA TENA SANA.
 
Kati ya mtu mngese niliyewahi kakutana naye hapa JF ni huyo jamaa...

Kuwa na Followers wengi inasaidia pia ku boost views za YouTube ambazo baadhi ya ma agents dunia huangalia kabla ya kukupa deal..
 
Mkuu mbona unatokwa povu hivo ........ Anachojaribu kukisema jamaa ni kuendelea kuweka msisitizo tu kuwa MOND YUKO JUU ZAIDI YA KIBA NA KTK VINGI AMBAVYO MOND KAMPITA KIBA BASI KIMOJAWAPO NI LA HILI LA FOLLOWERS, NA HUO NI MSISITIZO TU KUWA MUSIWE MNAMLINGANISHA MOND NA KIBA KWA VILE MOND YUKO MBALI SANA TENA SANA.

yaani angeandika hivyo kwa kujiamini kama wewe mbona angefuka kesi??

kwani kuna tatizo? kama kiba angekuwa No body wala hata asingetajwa!!
 
Back
Top Bottom