Kuna mada kibao za maana huwa zinaletwa na wanaume humu ila we pamoja na wanawake wenzio huwa unamleta mada za kijinga jinga na mnapoteza maana ya jukwaa nzima linakuwa la kijinga jinga kwa sababu yenu wanawakeKwa hiyo Celebrity forum ilianzishwa na wajinga?
Kama una akili sana nenda Great thinker forum
ulizungukaaa weeeeee kumbe nia yako kushindanisha kiba na diamondUmeshikwa papaya
na wala haoni aibu kakomaa kama vile ni zari mwenyeweKuna mada kibao za maana huwa zinaletwa na wanaume humu ila we pamoja na wanawake wenzio huwa unamleta mada za kijinga jinga na mnapoteza maana ya jukwaa nzima linakuwa la kijinga jinga kwa sababu yenu wanawake
nani kakudanganya darasa ndio mkali wa Bongo?hata top 100 za bongo hayupofollowers sio ishu kwan mkali wa bongo DAraSA anawangapi
Hahaha...Binafsi sielewi hii dhama ya followers kwa Tanzania inachomaanisha! Kuna kidada kimoja ni kama house girl hivi lakini akipost kitu chochote katika dakika 30 tu zinakuwepo 'like' kama mia nane wakati kuna jamaa mmoja anaweka vitu vya msingi sana na vya maana ambapo anaweza kutumia hata mwezi kupata 'like' 50!
Hapo ndipo sielewi maana ya hizi makitu kwa nchi ambayo inasemekana 65% ni vijana chini ya miaka 35 huku 80% ya hao wakiwa hawana hata hizo division five!
Acha maneno Weka Muziki......nani kakudanganya darasa ndio mkali wa Bongo?hata top 100 za bongo hayupo
Naona sasa ivi mmehamia Kwa darasa baada ya bushman(kiba) kuwa discouragesfollowers sio ishu kwan mkali wa bongo DAraSA anawangapi
Your king ameshajiua mwenyewe kwa kuhangaika kutwa kushindana na diamond badala ya kujikita kufanya kazi, anakalia majungu kama ya uswahilin mara kahujumiwa dah! Bonge bhana vituko haviishi
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...
Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..
What's happening to our King Kiba?
Acha uongoKanye na Jay Z hawako kwenye mtandao wa kijamii hata mmoja
Kanye na Jay Z hawako kwenye mtandao wa kijamii hata mmoja
huu pekee si ndio wimbo wa Darasa uli hit... ghafla kawa mkali... watu mnajua kweli kuvika watu vilemba vya ukokafollowers sio ishu kwan mkali wa bongo DAraSA anawangapi
We subiri tuone Wimbo wake mwingine utakao kuja ukiwa mbaya watu watasema alibahatisha kwa hiyo inabidi akazaneTangu itoke muziki tayari wabongo wanaona ameiva tayari kupambanishwa na mond! Wengine wote wameshasahaulika!