Wenye Followers wengi 2016.. KIBA HAYUPO TOP 5

yaani angeandika hivyo kwa kujiamini kama wewe mbona angefuka kesi??

kwani kuna tatizo? kama kiba angekuwa No body wala hata asingetajwa!!
Umeshikwa papaya
 
Kwa hiyo Celebrity forum ilianzishwa na wajinga?

Kama una akili sana nenda Great thinker forum
Kuna mada kibao za maana huwa zinaletwa na wanaume humu ila we pamoja na wanawake wenzio huwa unamleta mada za kijinga jinga na mnapoteza maana ya jukwaa nzima linakuwa la kijinga jinga kwa sababu yenu wanawake
 
na wala haoni aibu kakomaa kama vile ni zari mwenyewe
 
Binafsi sielewi hii dhama ya followers kwa Tanzania inachomaanisha! Kuna kidada kimoja ni kama house girl hivi lakini akipost kitu chochote katika dakika 30 tu zinakuwepo 'like' kama mia nane wakati kuna jamaa mmoja anaweka vitu vya msingi sana na vya maana ambapo anaweza kutumia hata mwezi kupata 'like' 50!
Hapo ndipo sielewi maana ya hizi makitu kwa nchi ambayo inasemekana 65% ni vijana chini ya miaka 35 huku 80% ya hao wakiwa hawana hata hizo division five!
 
Hahaha...
 
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...

Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..

What's happening to our King Kiba?

Your king ameshajiua mwenyewe kwa kuhangaika kutwa kushindana na diamond badala ya kujikita kufanya kazi, anakalia majungu kama ya uswahilin mara kahujumiwa dah! Bonge bhana vituko haviishi
 
Ni Kweli kaisha
 
TE="Ethos, post: 19051714, member: 313959"]It's our King...

King Kiba[/QUOTE]
King Kibamia ni wako sio sie
 
Tangu itoke muziki tayari wabongo wanaona ameiva tayari kupambanishwa na mond! Wengine wote wameshasahaulika!
We subiri tuone Wimbo wake mwingine utakao kuja ukiwa mbaya watu watasema alibahatisha kwa hiyo inabidi akazane
 
Back
Top Bottom