Wenye Followers wengi 2016.. KIBA HAYUPO TOP 5

Ali kiba asipoandikwa humu huwa hakunogi endeleeni kutupa ladha
 
Nadhani Kiba anavumilia sana mana watu kila anachofanya watu wanamundama khaa!
 
ulizungukaaa weeeeee kumbe nia yako kushindanisha kiba na diamond

ebu jiamini bana, King(kwa maneno yako) atabaki kiwa king, maadam unatambua hilo

Punguza povu ndugu.........
 
Lazima awepo au ndo inaumuhimu gani kwanza. Followers wengi ndo hela nyingi inaingia kwenye akaunti yako au?
Ebu check kama waziri mkuu ana followers wengi?
 
Lazima awepo au ndo inaumuhimu gani kwanza. Followers wengi ndo hela nyingi inaingia kwenye akaunti yako au?
Ebu check kama waziri mkuu ana followers wengi?
We jamaa ni kati ya JF members ambao hawajui kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…