Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Nafukua kaburi vipi wenzangu tuliofurahia ushindi kwa vifijo na vigelegele, twajionaje na hali?

Hahahahahahaha
Natamani kila Diwani, kila Mbunge, kila Meya awe Kama Dkt Pombe,

Tena katika vitu vikubwa zaid JK alivyotuachia Kama urithi wake kwetu kumkumbuka ni hili Fupa toka Chatto!
 
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
nina furaha ya 4G na ningejua kabla kama atakukuwa yeye nisingesoma kabisa full uzalendo na kuipenda nchi kunanipa ulaji.Hata nisipojua kusoma au kuandika kwani kuna wasomi wengi ni wezi na wametuibia sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti ujue jana usiku nashika simu ya halotel nakuta missed call yako hivi no zangu zote si ulikua hauna jamaan
Hivi kwa nini hukupokea wewe!!!

Ungejua shida nloipata we acha, Kumbee mie ndo nilikuwa kiherehere wa kutafuta watu, Yaani wiki hamna wa kunitafuta. Hata wewee, nisiende halotel wakantolea bhana, jana nilikuwa nawasuta watu ka wewe!!!!
 
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
Naomba feedback mkuu,bado uko kwenye msimamo wako?
 
Hivi kwa nini hukupokea wewe!!!

Ungejua shida nloipata we acha, Kumbee mie ndo nilikuwa kiherehere wa kutafuta watu, Yaani wiki hamna wa kunitafuta. Hata wewee, nisiende halotel wakantolea bhana, jana nilikuwa nawasuta watu ka wewe!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada povu sitaki kama la jana kwahiyo halotel walikutolea ninii
 
Taarifa ya toka Mach.... Lakini mlivyofanya sio poa kabisa.... Nilienda na mjeda kabisa!!!! Na rb juu
 
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
Daaahhhh kumbe nilikosaga utamu !!!!!!!

Ila sio mbaya 2017 .... Mimi nilifurahi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Taarifa ya toka Mach.... Lakini mlivyofanya sio poa kabisa.... Nilienda na mjeda kabisa!!!! Na rb juu
Sasa sisi tumefanyaje hivi me si uliniambia hauna no yangu nikutafute nikakutafute kwenye tigo week ile iliyoisha [emoji30][emoji30][emoji30]
 
We unajua nakutafutaga wapi????!!! Sikuamini kabisa, niliwapa zao halafu nkawablock.
 
Hahahahahahaha
Natamani kila Diwani, kila Mbunge, kila Meya awe Kama Dkt Pombe,

Tena katika vitu vikubwa zaid JK alivyotuachia Kama urithi wake kwetu kumkumbuka ni hili Fupa toka Chatto!
Ingekuwa malighafi, haki ya nani baada ya hii miaka mitano ningeenda kuiweka pale makumbusho ya Taifa.
 
Hahahahahahaha
Natamani kila Diwani, kila Mbunge, kila Meya awe Kama Dkt Pombe,

Tena katika vitu vikubwa zaid JK alivyotuachia Kama urithi wake kwetu kumkumbuka ni hili Fupa toka Chatto!
Hahaha JK si tulisema dhaifu ngoja Ngosha atunyoshe
 
Back
Top Bottom