Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Sasa sisi tumefanyaje hivi me si uliniambia hauna no yangu nikutafute nikakutafute kwenye tigo week ile iliyoisha [emoji30][emoji30][emoji30]
Hii lugha gani mnaandika? Ni hiki kiswahili au? Mbona siwaelewi?We unajua nakutafutaga wapi????!!! Sikuamini kabisa, niliwapa zao halafu nkawablock.
Hapana.i think now unaskia njaa 2015 ulikuwa umevimbiwa
Kiswahili mkuu jaman mbona wenyewe tumeelewanaHii lugha gani mnaandika? Ni hiki kiswahili au? Mbona siwaelewi?
Bado una furahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha
Hiyo Salam veepe wataka ninyima nini
Cuzoo umeona nimemsalimia kigorii[emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Me amenikana maandishi yake cuzoo ujueCuzoo umeona nimemsalimia kigorii[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Namuuliza Hali ya hewa iko vipi sasa
Haaaaaaa kwa Hali ilivyo sasa lazima ayakane anatamani angekuwa mod ayafute kabisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me amenikana maandishi yake cuzoo ujue
Sumu haijalibiwi kwa kuonjwa!Hapana.
Mimi na sera za Magufuli mpaka tuone mwisho wake (2025). Maamuzi yake yana tija ya muda mrefu (strategic). Mimi nipo siti ya mbele namuangalia dereva akifanya vitu vyake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaaaaaa kwa Hali ilivyo sasa lazima ayakane anatamani angekuwa mod ayafute kabisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
habari ya siku dadaNi sheeeeeeeeeeeeeda
Kwa kweli, ndio.Poa mkuu bila shaka fraha yako inazidi kuongezeka
Hapana mkuu nakula kwa jasho awamu hii mpka nimefufua uzi ujue vyuma vimekazabado unakula utamu na raha?
Sumu ya nyoka haimdhuru nyoka. Au nikufafanulie zaidi?Sumu haijalibiwi kwa kuonjwa!
ni wachache wanaoweza kukiri kama ww.., pole mkuuHapana mkuu nakula kwa jasho awamu hii mpka nimefufua uzi ujue vyuma vimekaza
Oyeee tulimpenda wenyewe ndindi chuguo leo wenyewe ndindiii wacha tuisome nambaaa....Tunaisoma namba moyoni kweli kweli ila tunazuga tu usoni. Ila ngosha oyeeeee
Inapendeza sana wengine kwetu pakavu jamani hebu tieni mchuzi kidogoHehehe hali nzuri mkuu!
Asante sana mkuu hakuna haja ya kudanganya vyuma vimekaza kwelini wachache wanaoweza kukiri kama ww.., pole mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HeheInapendeza sana wengine kwetu pakavu jamani hebu tieni mchuzi kidogo