[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nafukua kaburi vipi wenzangu tuliofurahia ushindi kwa vifijo na vigelegele, twajionaje na hali?
Wewe kweli ni jipu
Unaongelea nini kwanza!!!! Hivi pale nlishangilia eeeh!!!!! Ni sheeeeeeda ya kiukweli yaaniBado una furahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii inapendeza, watu mkiwa kwenye maumivu mkifarijiana inapunguza maumivu. Salute mkuu, mdogo mdogo tutafika.Ha ha haaaaa. Umenifurahisha. Usiwe na hofu mkuu. Gari limefungwa injini mpya hivi majuzi tu. Tairi nazo zina cheni mpya. Tutafika salama.
AhahahhhhUnaongelea nini kwanza!!!! Hivi pale nlishangilia eeeh!!!!! Ni sheeeeeeda ya kiukweli yaani
Kauli yako ilikuwa tata, kwa sasa tunaitafsiri kwa negativelyUnaongelea nini kwanza!!!! Hivi pale nlishangilia eeeh!!!!! Ni sheeeeeeda ya kiukweli yaani
Hivi umekuwajeAhahahhhh
Dada acha niingie kulala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza kunimeza ujueHivi umekuwaje
Kwani nyie mlielewa vipi jamanii, nilimaanisha sheeeeeeda ya ukweee ya ukweliKauli yako ilikuwa tata, kwa sasa tunaitafsiri kwa negatively
Lala hukoooDada acha niingie kulala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza kunimeza ujue
mang'ombe peke yake ndo wenye furaha mkuu, na furaha yao kubwa sio kwasababu anafanya mema, bali ni kwasababu zingine za watu ambao hawana elimu kabisa kichwani.....tribalism.Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
Mimi sijaielewa vibaya, endapo ningekuwepo JF kipindi hicho huu uzi ningeunajisi sana maana mimi ni MpinzaniKwani nyie mlielewa vipi jamanii, nilimaanisha sheeeeeeda ya ukweee ya ukweli
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
It's me
It's me
Bila shaka humpendi tenaYaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz