Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Ha ha haaaaa. Umenifurahisha. Usiwe na hofu mkuu. Gari limefungwa injini mpya hivi majuzi tu. Tairi nazo zina cheni mpya. Tutafika salama.
Hii inapendeza, watu mkiwa kwenye maumivu mkifarijiana inapunguza maumivu. Salute mkuu, mdogo mdogo tutafika.
 
Däaaaah.... God have mercy kwa watu aliowapa akiliii na wakashindwa kuzitumia
 
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
mang'ombe peke yake ndo wenye furaha mkuu, na furaha yao kubwa sio kwasababu anafanya mema, bali ni kwasababu zingine za watu ambao hawana elimu kabisa kichwani.....tribalism.
 
Kwani nyie mlielewa vipi jamanii, nilimaanisha sheeeeeeda ya ukweee ya ukweli
Mimi sijaielewa vibaya, endapo ningekuwepo JF kipindi hicho huu uzi ningeunajisi sana maana mimi ni Mpinzani
 
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz

Bado una furaha?
 
Back
Top Bottom