[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji16] [emoji16] woyooooo!.. Raha sana kusalimiwa na wengi!Salama kaka
Umemisika ujue, kwa nini lakinii
Habar za asbuh.Unifikii. Ila napata shida bado kuelewe wenzetu waliotutukana matusi yote, wanajisikiaje? Mbaya zaidi kilichoandikwa hakifutiki hata moderator wafute haitasaidia. Hii ni aibu kwa taifa kuwa kizazi cha vijana wajinga, wapumbavu na malofa kama hawa wa sasa.
Natumai umeshavunjikaTumewanyoooosha kudadadeki!!!! zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwa na kadi ya ccm bidhaa bure madukani nyauba
Wajionaje na haliYaaaani leo silali ni full mizuka tuuuu.....oyoooooooo full bataaz
kwani wewe ndiye Doto yule paymaster wa kununua bombardier na kujenga Chuttle International Airport?Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
Najiuliza MV DSM ilinunuliwa na wasomi au VIHIYO?nina furaha ya 4G na ningejua kabla kama atakukuwa yeye nisingesoma kabisa full uzalendo na kuipenda nchi kunanipa ulaji.Hata nisipojua kusoma au kuandika kwani kuna wasomi wengi ni wezi na wametuibia sana
Then yeye akabaki [emoji91]niHuyu magufuri atatupeleka paradiso
Vip bado furaha ipo aisee, me sasa hivi imeshapoteaaYaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
Bado wanagawa bure tu hizo bidhaa mpaka sasaukiwa na kadi ya ccm bidhaa bure madukani nyauba
Hahahahahaha asantee sana..., angalau leo nimeitwa mdogo hizi shikamoo za mabarabarani zilinichosha ujue
ni kihiyo wa PHD amabaye hata sentensi mbili za kiingereza hawezi kutungaNajiuliza MV DSM ilinunuliwa na wasomi au VIHIYO?
Kwa mujibu wa reports za CAG
acha bure, hata uwaongeze na hela hawanitaki huko [emoji81] [emoji81]Hahaha
Aki nakugawa bure
Ndo upunguze ukorofi mdogo wanguacha bure, hata uwaongeze na hela hawanitaki huko [emoji81] [emoji81]
thawaa dadaNdo upunguze ukorofi mdogo wangu
Mambo mengine vipi kaka usiwe unapotea hivyo bhanathawaa dada
Huyo mwenye furaha atakua kashatumbuliwa na sijui kama ana sim kubwa aingie tena humuBila shaka humpendi tena
Hahàhahaaaaaa wajifunze kutunza manenohabari ya siku dada