Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Unifikii. Ila napata shida bado kuelewe wenzetu waliotutukana matusi yote, wanajisikiaje? Mbaya zaidi kilichoandikwa hakifutiki hata moderator wafute haitasaidia. Hii ni aibu kwa taifa kuwa kizazi cha vijana wajinga, wapumbavu na malofa kama hawa wa sasa.
Habar za asbuh.
Ongeza uzalishaji
 
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
kwani wewe ndiye Doto yule paymaster wa kununua bombardier na kujenga Chuttle International Airport?

kama ndiye basi una haki ya kukenua!
 
nina furaha ya 4G na ningejua kabla kama atakukuwa yeye nisingesoma kabisa full uzalendo na kuipenda nchi kunanipa ulaji.Hata nisipojua kusoma au kuandika kwani kuna wasomi wengi ni wezi na wametuibia sana
Najiuliza MV DSM ilinunuliwa na wasomi au VIHIYO?
Kwa mujibu wa reports za CAG
 
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
Vip bado furaha ipo aisee, me sasa hivi imeshapoteaa
 
Dah....woyoooooooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom