Ni gari zinazohitaji kudekezwa sana kwenye service nakitu muhimu zaidi ni kuzingatia sana oili iwe maalum kwajili ya cvt
Watu wengi wanazikimbia kwasababu kuna oili feki nyingi zimejaa na ukithubutu kuzitumia unaua gari itaanza kuwa na matatizo chungu nzima na mafundi wetu wengi hawana uzoefu wa kutatua matatizo haya