Ishu ya CVT inahitaji umakini Mkubwa sana.La sivyo,umeua gearbox.Na wengi ukiwauliza swali kuhusu CVT ,hawaelewi umemuuliza nn,utajibiwa kitu ambacho hujauliza.
Kwa uzioefu wangu,kama gari Yako ina user manual,itakupa maelekezo.Shida,wengi magari yetu tunayonunua kieyeji mikononi mwa watu hata manual hamna.Ukidownload manual mtandaoni,hapa ndo utapotea kabisa.Unaweza kupata manual ambayo ni ya gari hilo hilo lakini Kuna kitu kidogo sana gari moja ni tofauti na gari nyingine japo ni aina hiyo hiyo ya gari.
Jambo la Msingi,umabifi uijue gearbox Yako ni aina Gani,maana watengenezajingati na gearbox ni watu wawili tofauti wakati mwingine.Jua aina Yako ya gearbox kwa uhakika,zina code zake,Kisha fuatilia aina hiyo ya gearbox kilainishi chake ni kipi.
Ila from experience,Atlantis CVT,multipurpose imekuwa msaada Dana kwa magari mengi ya CVT.Trust me.