ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwenye mambo ya kazi hatuchezi tunachezea mshahara sitaki uje unilaumu sikukupa akili weka na ile B&W ya kupima kuanzia buku.kale kapombe kazuri sana kana stimu lake special yaani kanakukamata mwili wote unakuwa wa moto.