Wenye grocery nawapa mbinu wekeni na black and white ya kupima

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwenye mambo ya kazi hatuchezi tunachezea mshahara sitaki uje unilaumu sikukupa akili weka na ile B&W ya kupima kuanzia buku.kale kapombe kazuri sana kana stimu lake special yaani kanakukamata mwili wote unakuwa wa moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…