Wenye hofu ya kutekwa tukutane hapa

Hofu yakutekwa??? yani watumie silaha zenye bei ghali alafu wakutane na buku mfukon?

nakuhakikishia usiwe na hofu uko salama
 

wewe mtu mzima, hao sio watekaji tunaowasema hao walitaka na bado wanataka yale mambo yetu.
 

Pole sana Mzigua
 
Wangetaka angepiga simu nilivyogeuka tu pale.

Kumbe wadada tukichukua namba za simu huwa mnatamani tuwapigie. Jamaa watakuwa wamepiga hesabu wameona hasara kuendelea kukufuatulia, kwa hiyo wamevunga.
Ila next time don’t be like that, usiruhusu mtu yoyote akulazimishe ufanye kitu ambacho hukitaki, ingemake sense Kama umeitwa na umeenda kwa sababu umependa kampani yao na sio uwepo wa bodaboda au watu wengine umekulazimisha.
 
Nilienda sio kwa kupenda ila niliona Kama nitacreate scene bure
 
Hao ninawajua wangekufanyia mbaya sana
 
Watu wengine wana bahati zao yaani kwa maneno hayo akapewa namba ? Halafu hana time ? ...Nini kinampa kiburi hivyo huyo Fakeni ? Au alikuwa na Aston Martin inayogeuka kuwa Boti kwenye bahari ?
 
Watu wengine wana bahati zao yaani kwa maneno hayo akapewa namba ? Halafu hana time ? ...Nini kinampa kiburi hivyo huyo Fakeni ? Au alikuwa na Aston Martin inayogeuka kuwa Boti kwenye bahari ?
Hahahahahaaa. Hamna nilimpa tu niwahi nilikokua naenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…