Wenye hofu ya kutekwa tukutane hapa

Wenye hofu ya kutekwa tukutane hapa

Hofu yakutekwa??? yani watumie silaha zenye bei ghali alafu wakutane na buku mfukon?

nakuhakikishia usiwe na hofu uko salama
 
Juzi mitaa ya Mbezi nahisi kuna watu walitaka kuniteka ila kwa kua najua kuvumilia shida zangu nikanusurika.

Nilikua naenda kupanda daladala Mara nikaona gari imepaki na honi nyingii. Kaka wa bajaj akaniambia Dada unaitwa wewe. Nikaona aibu Fulani maana watu wote wakawa wananiangalia Sasa ninaeitwa. Nikaenda kumsikiliza huyo anaeniita. Akaanza Dada mzuri nimekupenda blah blah.. Nimekuita nikusalimie. Mara unaenda wapi nikamwambia naenda Posta akaniambia panda nikusogeze mpaka Makumbusho nikamwambia asante namsubiri MTU. Akaniambia panda basi mpaka pale sheli nataka tuongee kidogo nikamwambia hapana nashukuru. Akaniaomba Namba nikampa. Wakawasha gari Lao wakaondoka. Walikua wanaume watatu kwenye gari. Kama alikua kweli ananitaka ile kunitongoza I'm very sure angeshanitafuta. Jana jioni jioni nimeona tena hiyo gari mitaa nilipokutana nayo siku ya kwanza..

wewe mtu mzima, hao sio watekaji tunaowasema hao walitaka na bado wanataka yale mambo yetu.
 
Niliipata mama. Lift sipandagi kabisa. Naogopa mnoo. Wale nilikua nimesimama pembeni kuna madereva BajaJ na bodaboda na nikawa napiga mahesabu kabisa ikitokea wakashuka kunikamata kwa nguvu narukia wapi. Hata barabarani nikitembea nakuaga makini na magari yanayokuja njia yangu maana kuna mdogo wa mpangaji mwenzie na rafiki yangu alitakagwa kutekwa na gari barabarani SAA moja jioni. Nimekoma mbona. Nishasema acha MTU anione naringa ila ile hatari ya juzi siirudii tena.

Pole sana Mzigua
 
Wangetaka angepiga simu nilivyogeuka tu pale.

Kumbe wadada tukichukua namba za simu huwa mnatamani tuwapigie. Jamaa watakuwa wamepiga hesabu wameona hasara kuendelea kukufuatulia, kwa hiyo wamevunga.
Ila next time don’t be like that, usiruhusu mtu yoyote akulazimishe ufanye kitu ambacho hukitaki, ingemake sense Kama umeitwa na umeenda kwa sababu umependa kampani yao na sio uwepo wa bodaboda au watu wengine umekulazimisha.
 
Nilienda sio kwa kupenda ila niliona Kama nitacreate scene bure
 
Juzi mitaa ya Mbezi nahisi kuna watu walitaka kuniteka ila kwa kua najua kuvumilia shida zangu nikanusurika.

Nilikua naenda kupanda daladala Mara nikaona gari imepaki na honi nyingii. Kaka wa bajaj akaniambia Dada unaitwa wewe. Nikaona aibu Fulani maana watu wote wakawa wananiangalia Sasa ninaeitwa. Nikaenda kumsikiliza huyo anaeniita. Akaanza Dada mzuri nimekupenda blah blah.. Nimekuita nikusalimie. Mara unaenda wapi nikamwambia naenda Posta akaniambia panda nikusogeze mpaka Makumbusho nikamwambia asante namsubiri MTU. Akaniambia panda basi mpaka pale sheli nataka tuongee kidogo nikamwambia hapana nashukuru. Akaniaomba Namba nikampa. Wakawasha gari Lao wakaondoka. Walikua wanaume watatu kwenye gari. Kama alikua kweli ananitaka ile kunitongoza I'm very sure angeshanitafuta. Jana jioni jioni nimeona tena hiyo gari mitaa nilipokutana nayo siku ya kwanza..
Hao ninawajua wangekufanyia mbaya sana
 
Watu wengine wana bahati zao yaani kwa maneno hayo akapewa namba ? Halafu hana time ? ...Nini kinampa kiburi hivyo huyo Fakeni ? Au alikuwa na Aston Martin inayogeuka kuwa Boti kwenye bahari ?
 
Hahahahahaaa. Hamna nilimpa tu niwahi nilikokua naenda
 
Back
Top Bottom