Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,516
Trust me, they'd bring me back..Vipi unatema kama Fungo nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trust me, they'd bring me back..Vipi unatema kama Fungo nini ?
Juzi mitaa ya Mbezi nahisi kuna watu walitaka kuniteka ila kwa kua najua kuvumilia shida zangu nikanusurika.
Nilikua naenda kupanda daladala Mara nikaona gari imepaki na honi nyingii. Kaka wa bajaj akaniambia Dada unaitwa wewe. Nikaona aibu Fulani maana watu wote wakawa wananiangalia Sasa ninaeitwa. Nikaenda kumsikiliza huyo anaeniita. Akaanza Dada mzuri nimekupenda blah blah.. Nimekuita nikusalimie. Mara unaenda wapi nikamwambia naenda Posta akaniambia panda nikusogeze mpaka Makumbusho nikamwambia asante namsubiri MTU. Akaniambia panda basi mpaka pale sheli nataka tuongee kidogo nikamwambia hapana nashukuru. Akaniaomba Namba nikampa. Wakawasha gari Lao wakaondoka. Walikua wanaume watatu kwenye gari. Kama alikua kweli ananitaka ile kunitongoza I'm very sure angeshanitafuta. Jana jioni jioni nimeona tena hiyo gari mitaa nilipokutana nayo siku ya kwanza..
Ila mzigua hata mm nikikuone aisee ntajaribu bahati yangu ingawa mm sikuteki ki Ben wa saa nane bali nakuteka kimapenz. Nimechek avatar yako mtoto una mshepu,manshallahJuzi mitaa ya Mbezi nahisi kuna watu walitaka kuniteka ila kwa kua najua kuvumilia shida zangu nikanusurika.
Nilikua naenda kupanda daladala Mara nikaona gari imepaki na honi nyingii. Kaka wa bajaj akaniambia Dada unaitwa wewe. Nikaona aibu Fulani maana watu wote wakawa wananiangalia Sasa ninaeitwa. Nikaenda kumsikiliza huyo anaeniita. Akaanza Dada mzuri nimekupenda blah blah.. Nimekuita nikusalimie. Mara unaenda wapi nikamwambia naenda Posta akaniambia panda nikusogeze mpaka Makumbusho nikamwambia asante namsubiri MTU. Akaniambia panda basi mpaka pale sheli nataka tuongee kidogo nikamwambia hapana nashukuru. Akaniaomba Namba nikampa. Wakawasha gari Lao wakaondoka. Walikua wanaume watatu kwenye gari. Kama alikua kweli ananitaka ile kunitongoza I'm very sure angeshanitafuta. Jana jioni jioni nimeona tena hiyo gari mitaa nilipokutana nayo siku ya kwanza..
Sina Hata Namba yaoMwee!!, na namba futamo dada angu
Shape ya avatar hiyo isikutishe hataIla mzigua hata mm nikikuone aisee ntajaribu bahati yangu ingawa mm sikuteki ki Ben wa saa nane bali nakuteka kimapenz. Nimechek avatar yako mtoto una mshepu,manshallah
😂😂😂😂😂😂😂😂Jana nipo kijiweni kwetu na washkaji tunapiga story za MO jamaa mmoja akaanza kuhadithia jinsi zamani watu tulivyokuwa tunaogopa magari ya msalaba mwekundu Mara wanyonya damu Mara wachuna ngozi akaendelea kusema hata Sasa tutafika Zama hizo za kuishi kutekana.kwamba mwili wa binadamu ni deal Sana kuanzia viungo vyote na kwamba majambazi hao wakikuchukua wanachomoa kimojawapo Kama ni Figo au ini au sehemu za Siri wanapita hivi kwenda kuuza.halafu huku mtaani zinabakia tu story mara serikali mara sijui nini mara sijui utakuwa umejiteka ila ndo hivo utakuwa ushatangulia kinyama.toka asimulie hayo mambo Mimi pressure sijui ndo imeshuka nahisi kabisa moyo unasukuma damu taratibu Sana .usiku silali vizuri Wala Sina hamu ya kula.mawazo ni mengi Sina raha
Naomba namba yako. SeriouslyJuzi mitaa ya Mbezi nahisi kuna watu walitaka kuniteka ila kwa kua najua kuvumilia shida zangu nikanusurika.
Nilikua naenda kupanda daladala Mara nikaona gari imepaki na honi nyingii. Kaka wa bajaj akaniambia Dada unaitwa wewe. Nikaona aibu Fulani maana watu wote wakawa wananiangalia Sasa ninaeitwa. Nikaenda kumsikiliza huyo anaeniita. Akaanza Dada mzuri nimekupenda blah blah.. Nimekuita nikusalimie. Mara unaenda wapi nikamwambia naenda Posta akaniambia panda nikusogeze mpaka Makumbusho nikamwambia asante namsubiri MTU. Akaniambia panda basi mpaka pale sheli nataka tuongee kidogo nikamwambia hapana nashukuru. Akaniaomba Namba nikampa. Wakawasha gari Lao wakaondoka. Walikua wanaume watatu kwenye gari. Kama alikua kweli ananitaka ile kunitongoza I'm very sure angeshanitafuta. Jana jioni jioni nimeona tena hiyo gari mitaa nilipokutana nayo siku ya kwanza..
Njoo uchukueNaomba namba yako. Seriously
Kwanini kaka?
HahahahaaaTunakupigia lakini hupokei 🙄🙄🙄🙄
Na Mimi naomba namba yako Kwa pm mkuu.. 😂Juzi mitaa ya Mbezi nahisi kuna watu walitaka kuniteka ila kwa kua najua kuvumilia shida zangu nikanusurika.
Nilikua naenda kupanda daladala Mara nikaona gari imepaki na honi nyingii. Kaka wa bajaj akaniambia Dada unaitwa wewe. Nikaona aibu Fulani maana watu wote wakawa wananiangalia Sasa ninaeitwa. Nikaenda kumsikiliza huyo anaeniita. Akaanza Dada mzuri nimekupenda blah blah.. Nimekuita nikusalimie. Mara unaenda wapi nikamwambia naenda Posta akaniambia panda nikusogeze mpaka Makumbusho nikamwambia asante namsubiri MTU. Akaniambia panda basi mpaka pale sheli nataka tuongee kidogo nikamwambia hapana nashukuru. Akaniaomba Namba nikampa. Wakawasha gari Lao wakaondoka. Walikua wanaume watatu kwenye gari. Kama alikua kweli ananitaka ile kunitongoza I'm very sure angeshanitafuta. Jana jioni jioni nimeona tena hiyo gari mitaa nilipokutana nayo siku ya kwanza..
Nimesahau nilivyokusave.Wangetaka angepiga simu nilivyogeuka tu pale.