Wenye hofu ya kutekwa tukutane hapa

Wenye hofu ya kutekwa tukutane hapa

Juzi mitaa ya Mbezi nahisi kuna watu walitaka kuniteka ila kwa kua najua kuvumilia shida zangu nikanusurika.

Nilikua naenda kupanda daladala Mara nikaona gari imepaki na honi nyingii. Kaka wa bajaj akaniambia Dada unaitwa wewe. Nikaona aibu Fulani maana watu wote wakawa wananiangalia Sasa ninaeitwa. Nikaenda kumsikiliza huyo anaeniita. Akaanza Dada mzuri nimekupenda blah blah.. Nimekuita nikusalimie. Mara unaenda wapi nikamwambia naenda Posta akaniambia panda nikusogeze mpaka Makumbusho nikamwambia asante namsubiri MTU. Akaniambia panda basi mpaka pale sheli nataka tuongee kidogo nikamwambia hapana nashukuru. Akaniaomba Namba nikampa. Wakawasha gari Lao wakaondoka. Walikua wanaume watatu kwenye gari. Kama alikua kweli ananitaka ile kunitongoza I'm very sure angeshanitafuta. Jana jioni jioni nimeona tena hiyo gari mitaa nilipokutana nayo siku ya kwanza..

Mwee!!, na namba futamo dada angu
 
Ila mzigua hata mm nikikuone aisee ntajaribu bahati yangu ingawa mm sikuteki ki Ben wa saa nane bali nakuteka kimapenz. Nimechek avatar yako mtoto una mshepu,manshallah
 
Shape ya avatar hiyo isikutishe hata
 
Jana nipo kijiweni kwetu na washkaji tunapiga story za MO jamaa mmoja akaanza kuhadithia jinsi zamani watu tulivyokuwa tunaogopa magari ya msalaba mwekundu Mara wanyonya damu Mara wachuna ngozi akaendelea kusema hata Sasa tutafika Zama hizo za kuishi kutekana.kwamba mwili wa binadamu ni deal Sana kuanzia viungo vyote na kwamba majambazi hao wakikuchukua wanachomoa kimojawapo Kama ni Figo au ini au sehemu za Siri wanapita hivi kwenda kuuza.halafu huku mtaani zinabakia tu story mara serikali mara sijui nini mara sijui utakuwa umejiteka ila ndo hivo utakuwa ushatangulia kinyama.toka asimulie hayo mambo Mimi pressure sijui ndo imeshuka nahisi kabisa moyo unasukuma damu taratibu Sana .usiku silali vizuri Wala Sina hamu ya kula.mawazo ni mengi Sina raha
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Juzi mitaa ya Mbezi nahisi kuna watu walitaka kuniteka ila kwa kua najua kuvumilia shida zangu nikanusurika.

Nilikua naenda kupanda daladala Mara nikaona gari imepaki na honi nyingii. Kaka wa bajaj akaniambia Dada unaitwa wewe. Nikaona aibu Fulani maana watu wote wakawa wananiangalia Sasa ninaeitwa. Nikaenda kumsikiliza huyo anaeniita. Akaanza Dada mzuri nimekupenda blah blah.. Nimekuita nikusalimie. Mara unaenda wapi nikamwambia naenda Posta akaniambia panda nikusogeze mpaka Makumbusho nikamwambia asante namsubiri MTU. Akaniambia panda basi mpaka pale sheli nataka tuongee kidogo nikamwambia hapana nashukuru. Akaniaomba Namba nikampa. Wakawasha gari Lao wakaondoka. Walikua wanaume watatu kwenye gari. Kama alikua kweli ananitaka ile kunitongoza I'm very sure angeshanitafuta. Jana jioni jioni nimeona tena hiyo gari mitaa nilipokutana nayo siku ya kwanza..
Naomba namba yako. Seriously
 
Tangu nitoe bandiko nikipata vijana wa tano MO anapatkana bas usalama wangu upo hatarin sana,
PM napata raia ambao sina ata maelezo

Dua zenu jmn. Billion inataka kutenganisha pumz na mwil
 
Mzee hujakosea.
Kutekwa hakuchagui tajiri wala masikini.
Kutekwa kupo palepale japo wengi watakubeza.
 
Juzi mitaa ya Mbezi nahisi kuna watu walitaka kuniteka ila kwa kua najua kuvumilia shida zangu nikanusurika.

Nilikua naenda kupanda daladala Mara nikaona gari imepaki na honi nyingii. Kaka wa bajaj akaniambia Dada unaitwa wewe. Nikaona aibu Fulani maana watu wote wakawa wananiangalia Sasa ninaeitwa. Nikaenda kumsikiliza huyo anaeniita. Akaanza Dada mzuri nimekupenda blah blah.. Nimekuita nikusalimie. Mara unaenda wapi nikamwambia naenda Posta akaniambia panda nikusogeze mpaka Makumbusho nikamwambia asante namsubiri MTU. Akaniambia panda basi mpaka pale sheli nataka tuongee kidogo nikamwambia hapana nashukuru. Akaniaomba Namba nikampa. Wakawasha gari Lao wakaondoka. Walikua wanaume watatu kwenye gari. Kama alikua kweli ananitaka ile kunitongoza I'm very sure angeshanitafuta. Jana jioni jioni nimeona tena hiyo gari mitaa nilipokutana nayo siku ya kwanza..
Na Mimi naomba namba yako Kwa pm mkuu.. 😂
 
Back
Top Bottom