Wenye ID yenye majina mawili uwezo wao ni mdogo kuliko wenye Jina moja

Siku hizi kila mtu ni mtafiti na anaweza kutafiti kitu chochote kile!
teh! teh!
 
Af hizi tafiti zenu si mliambiwa kabla ya kuzi release mkaombe kibali au imekuaje?
 
Uwiii hapo ntapinga mpaka kesho. Hebu watake radhi watu na majina yao.

Sesten Zakazaka hivi haya yako nayo ni majina mawili eeee? 😜😜😜😜😜
Dah! Hapo lazima nikafungue kesi ya kudai fidia ya shilingi moja tu na kuombwa radhi kupitia vyombo vyote vya habari vilivyosajilia nchini kwa kosa la kukashifiwa.Siwezi kubali jambo hili hata kidogo

Nijaalie hali yako kwa muhtasar kwanza Hajar , ulivolala, ulivoamka na unavojiskia skia kwa sasa mamiiπŸ˜‰
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ muache tu sababu ndio mawazo yake hayo Sesten.

Mie Alhamdulillah uzima ninao.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ muache tu sababu ndio mawazo yake hayo Sesten.

Mie Alhamdulillah uzima ninao.
Basi ngoja nitumie ile kanuni ya "samehe saba mara sabini" nimemsamehe tayari. Lakini tafiti zingine hizi!!!
 
Ugomvi ni tofauti na uchokozi, sasa sijajua umewachokoza au unatafuta ugomvi.....

Akili imeniletea hili jina, Zamiluni Zamiluni mara nyingi kwangu amekuwa mpole mstaarabu na mtaratibu, sipendezwi na sifa ulizoweka....

After all sio kweli.

Two names for real.
 
Paa herufi tatu tu....hakuna kuchoshana wakati wa kunimention na kulogin jf
Una akili sana wewe. Naomba unifundishe jinsi ya kumention mtu hapa maana huwa natamani lkn siwez Mr Paa
 
Reactions: Paa
Una akili sana wewe. Naomba unifundishe jinsi ya kumention mtu hapa maana huwa natamani lkn siwez Mr Paa
Unaandika @ ikifuatiwa na jina la unayetaka kummention bila kuacha nafasi

Kwa mfano @mmimmi

Hapa chini nakumention ile @ haitaonekana
Kajole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…