Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Tunachangia kwa tahadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Hapo lazima nikafungue kesi ya kudai fidia ya shilingi moja tu na kuombwa radhi kupitia vyombo vyote vya habari vilivyosajilia nchini kwa kosa la kukashifiwa.Siwezi kubali jambo hili hata kidogoUwiii hapo ntapinga mpaka kesho. Hebu watake radhi watu na majina yao.
Sesten Zakazaka hivi haya yako nayo ni majina mawili eeee? 😜😜😜😜😜
Wee jamaa una akili sana aisee😀😀😀Mbona ww una jina moja then mbumbumbu
😀😀😀😀 muache tu sababu ndio mawazo yake hayo Sesten.Dah! Hapo lazima nikafungue kesi ya kudai fidia ya shilingi moja tu na kuombwa radhi kupitia vyombo vyote vya habari vilivyosajilia nchini kwa kosa la kukashifiwa.Siwezi kubali jambo hili hata kidogo
Nijaalie hali yako kwa muhtasar kwanza Hajar , ulivolala, ulivoamka na unavojiskia skia kwa sasa mamii😉
Basi ngoja nitumie ile kanuni ya "samehe saba mara sabini" nimemsamehe tayari. Lakini tafiti zingine hizi!!!😀😀😀😀 muache tu sababu ndio mawazo yake hayo Sesten.
Mie Alhamdulillah uzima ninao.
Ewaaaaaaa. Hahahaaa zina ukweli eeee? 😜😜😜Basi ngoja nitumie ile kanuni ya "samehe saba mara sabini" nimemsamehe tayari. Lakini tafiti zingine hizi!!!
Hahahaaaaa, unataka kuleta hadithi ya muwamba ngoma eeeh?Ewaaaaaaa. Hahahaaa zina ukweli eeee? 😜😜😜
Hahahaaa. Hapana banaaa.Hahahaaaaa, unataka kuleta hadithi ya muwamba ngoma eeeh?
Dah...kumbe nawe ni Yanga wa matopeni [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]