Wenye ID zaidi ya moja tukutane hapa

Wenye ID zaidi ya moja tukutane hapa

Hahaha okey unaweza jikuta una tongoza mtu kwenye I'd zote alafu ukajichanganya uongo tofauti ,unaishia kucheka tu
Sasa unatafuta niteleze hapa....nijulikane Kama ninazo ID mbili....

Lazima uwe makini, kila ID unaivalia uhusika wake...
 
Back
Top Bottom