uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Hahaha ata ukiwa na ile I'd nyingine unaogopa?Pm huwa nakuogopa naweza nisirudi jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ata ukiwa na ile I'd nyingine unaogopa?Pm huwa nakuogopa naweza nisirudi jukwaani
Ile nitakujia bila kutoa taarifa...jukwaani.Hahaha ata ukiwa na ile I'd nyingine unaogopa?
Hahaha okey unaweza jikuta una tongoza mtu kwenye I'd zote alafu ukajichanganya uongo tofauti ,unaishia kucheka tuIle nitakujia bila kutoa taarifa...jukwaani.
Huwezi jua yawezekana tushapishana
Sasa unatafuta niteleze hapa....nijulikane Kama ninazo ID mbili....Hahaha okey unaweza jikuta una tongoza mtu kwenye I'd zote alafu ukajichanganya uongo tofauti ,unaishia kucheka tu
Sasa unatafuta niteleze hapa....nijulikane Kama ninazo ID mbili....
Lazima uwe makini, kila ID unaivalia uhusika wake...
Miaka yote 8 wameshindwa, hawataweza tenaHahaha ngoja siku ukosee ziugwe paaap
Mbona zingine sijawahi kuziona? Zinaoperate in stealth mode?
Naogopa kugonganisha Magari kwa T-Junction.
Nitaendelea kubaki Highway wasikutane
Hapo sawaHadi uwe platinum member ndo utaziona.
😂😂😂😂 basiiiii 😂😂😂😂Hiyo ID naifahamu.....wewe mtu uko loaded sana...[emoji23][emoji23][emoji23]