Wenye kinyaa huongoza kwa kuwa wachafu

Wewe ni msafi tu wala huna kinyaa.

Nimeishi na watu wa aina zote mbili,huyu aina yako ni rafiki yangu wa karibu kabisa.
Kinyaa nahisi ni ugonjwa mwingine kabisa.
Mkuu kinyaa nilichonacho hata mate yangu ninapo swaki huwa siyatazami,napata tabu Sana Mkuu.Na hii Hali Ni toka utoto
 
Africa ni chafu sana kuna mitaa ina vyoo vya shimo. Mtaa mzima unanuka, kunyanyapaa uchafu(kinyaa) ni kazi bure, upo kila kona.
 
Umenikumbusha kipindi nakaa Kwa shemeji yaani sijawahi kukutana na binadamu mwenye kinyaa kama yule, ila sasa hajui ata kufagia, alinipigisha Sana kazi kiufupi ndiye alinipa hasira ya kupambana ili nijinusuru kuwa tegemezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…