Wenye kisukari, presha na vibonge(unene) huu ni uzi wetu

Toa hiyo avatar ya demu mwembamba, weka avatar ya demu mnono.
unajitahidi kujibana kula mwishowe unakufa unawaacha Wale washindilia misosi wakiendelea kufaid
ukifika huko Shetan anakushangaa na kukusikitikia Bora ungejiachia tu
 
Aisee. Poleni sana wakuu. Yani mimi bhana mimi yani nilishasema siku nikiota kitambi nakikatia chini.
 
nisaidie kuweka simu yangu imenigomea sijui ndio haitaki shobo na picha za vibonge[emoji23][emoji23][emoji23]
Toa hiyo avatar ya demu mwembamba, weka avatar ya demu mnono.
 
Khaaa nikajua wew kibonge mwenzetu
nisaidie kuweka simu yangu imenigomea sijui ndio haitaki shobo na picha za vibonge[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa pekee ya kupunguza obesity (unene uliokithiri ni kufanya intermittent fasting, low carb diet na aerobic exercises, kama kuna mtu atakuambia kuna dawa yoyote anakudanganya tu.
Mi wakasema nipige vinywaji vikali.sasa nikipiga njaa kama yoote.ndo napiga msosi mara mbili yake
 
sifungamani na upande wowote[emoji23][emoji23][emoji23]
unajitahidi kujibana kula mwishowe unakufa unawaacha Wale washindilia misosi wakiendelea kufaid
ukifika huko Shetan anakushangaa na kukusikitikia Bora ungejiachia tu
[emoji115][emoji115]Acha ushabiki mandazi..
 
1. (A) Wahi saa 11 au 12 inategemeana na kazini unaenda saa ngapi. Ruka kamba au fanya kama unakimbia,mikono iguse kisigino katika hiyo kimbia yako ya sehemu moja. Kama wewe ni kibonge kimbia dakika 15 hapo,hakikisha jasho limetoka.
(B)Piga push-up 10,pumzika sek 10,piga tena 10,mpaka 100. Hama.
(C) Kaa sakafuni,nyoosha miguu,ingiza miguu chini ya mwamba wa kitanda,shika mikono yote nyuma ya kisogo. Lala kwa kunyooka kwa nyuma,inuka,lala inuka,unapolala usifike chini,ishia katikati kuzifanya masoz za tumbo zikakamae wakati wa kukunyanyua,nenda,mara 10,pumzika sek 10,nenda tena. Piga hizo 100. Nenda oga maji ya vuguvugu. Kumbuka haya mazoezi hata chumbani kwako tu.
2. Asubuhi kula matunda,weka papai + tikit + nanasi + parachichi. Au kula supu ya samaki kipande na ndizi moja tu ya kuchemsha,mchuzi mwingi,chumvi kwa mbali. Kunywa maji lita 1 baada ya dakika 30 toka ule.
3. Mchana kula ndizi za kuchemsha,inaweza kuwa na samaki. Usile sana. Usikamie chakula. Njaa fanya kuidanganya tu,ukikaribia kushiba,achana nacho. Kunywa maji lita moja baada ya dakika 30 toka ule
4. Usiku kula mchanganyiko tena wa matunda,kula sana mpaka ushibe sana. Kunywa maji kidogo baada ya dakika 30 toka ule
=Kumbuka mnene yoyote sio unene wa ukoo ni unene wa kula saaana,hasa wanga na mafuta.
=Anza kula maandazi,chapati na vitumbua na chips
 
Mkuu hicho ulichokiongea unaweza kupungua ila utachukua muda sana au unaweza usipungue kabisa, hayo mazoez yako magumu yanasababisha mwili kutengeneza kitu kinaitwa Cortisol (stress hormone) ambayo inachagiza kuongeza kiwango cha sukari mwilini itakayosababisha kuongezeka kwa insulin resistance, fanya mazoez ya kawaida aerobic exercises kama walking (kumesisitizwa sana na wataalam) au swimming. Halaf hakuna hakuna low carb diet ambayo haisisitizi kunywa maji nashangaa wewe unasema kunywa maji kidogo
1. (A) Wahi saa 11 au 12 inategemeana na kazini unaenda saa ngapi. Ruka kamba au fanya kama unakimbia,mikono iguse kisigino katika hiyo kimbia yako ya sehemu moja. Kama wewe ni kibonge kimbia dakika 15 hapo,hakikisha jasho limetoka.
(B)Piga push-up 10,pumzika sek 10,piga tena 10,mpaka 100. Hama.
(C) Kaa sakafuni,nyoosha miguu,ingiza miguu chini ya mwamba wa kitanda,shika mikono yote nyuma ya kisogo. Lala kwa kunyooka kwa nyuma,inuka,lala inuka,unapolala usifike chini,ishia katikati kuzifanya masoz za tumbo zikakamae wakati wa kukunyanyua,nenda,mara 10,pumzika sek 10,nenda tena. Piga hizo 100. Nenda oga maji ya vuguvugu. Kumbuka haya mazoezi hata chumbani kwako tu.
2. Asubuhi kula matunda,weka papai + tikit + nanasi + parachichi. Au kula supu ya samaki kipande na ndizi moja tu ya kuchemsha,mchuzi mwingi,chumvi kwa mbali. Kunywa maji lita 1 baada ya dakika 30 toka ule.
3. Mchana kula ndizi za kuchemsha,inaweza kuwa na samaki. Usile sana. Usikamie chakula. Njaa fanya kuidanganya tu,ukikaribia kushiba,achana nacho. Kunywa maji lita moja baada ya dakika 30 toka ule
4. Usiku kula mchanganyiko tena wa matunda,kula sana mpaka ushibe sana. Kunywa maji kidogo baada ya dakika 30 toka ule
=Kumbuka mnene yoyote sio unene wa ukoo ni unene wa kula saaana,hasa wanga na mafuta.
=Anza kula maandazi,chapati na vitumbua na chips
 
Poleni. Mana sikuzote mwili kuja nirahisi ila kuondoka ndio changamoto.
 
Back
Top Bottom