Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mod wa zamu anaweza akaihamisha
Alafu kweli, tatizo tayar limetokea unasaidiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu kweli, tatizo tayar limetokea unasaidiaje?
Bana mi nakula tu kufa kupo
Toa hiyo avatar ya demu mwembamba, weka avatar ya demu mnono.
Khaaa nikajua wew kibonge mwenzetu
Mi wakasema nipige vinywaji vikali.sasa nikipiga njaa kama yoote.ndo napiga msosi mara mbili yakeDawa pekee ya kupunguza obesity (unene uliokithiri ni kufanya intermittent fasting, low carb diet na aerobic exercises, kama kuna mtu atakuambia kuna dawa yoyote anakudanganya tu.
sifungamani na upande wowote[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji115][emoji115]Acha ushabiki mandazi..unajitahidi kujibana kula mwishowe unakufa unawaacha Wale washindilia misosi wakiendelea kufaid
ukifika huko Shetan anakushangaa na kukusikitikia Bora ungejiachia tu
1. (A) Wahi saa 11 au 12 inategemeana na kazini unaenda saa ngapi. Ruka kamba au fanya kama unakimbia,mikono iguse kisigino katika hiyo kimbia yako ya sehemu moja. Kama wewe ni kibonge kimbia dakika 15 hapo,hakikisha jasho limetoka.
(B)Piga push-up 10,pumzika sek 10,piga tena 10,mpaka 100. Hama.
(C) Kaa sakafuni,nyoosha miguu,ingiza miguu chini ya mwamba wa kitanda,shika mikono yote nyuma ya kisogo. Lala kwa kunyooka kwa nyuma,inuka,lala inuka,unapolala usifike chini,ishia katikati kuzifanya masoz za tumbo zikakamae wakati wa kukunyanyua,nenda,mara 10,pumzika sek 10,nenda tena. Piga hizo 100. Nenda oga maji ya vuguvugu. Kumbuka haya mazoezi hata chumbani kwako tu.
2. Asubuhi kula matunda,weka papai + tikit + nanasi + parachichi. Au kula supu ya samaki kipande na ndizi moja tu ya kuchemsha,mchuzi mwingi,chumvi kwa mbali. Kunywa maji lita 1 baada ya dakika 30 toka ule.
3. Mchana kula ndizi za kuchemsha,inaweza kuwa na samaki. Usile sana. Usikamie chakula. Njaa fanya kuidanganya tu,ukikaribia kushiba,achana nacho. Kunywa maji lita moja baada ya dakika 30 toka ule
4. Usiku kula mchanganyiko tena wa matunda,kula sana mpaka ushibe sana. Kunywa maji kidogo baada ya dakika 30 toka ule
=Kumbuka mnene yoyote sio unene wa ukoo ni unene wa kula saaana,hasa wanga na mafuta.
=Anza kula maandazi,chapati na vitumbua na chips
[emoji115][emoji115]Acha ushabiki mandazi..
Habari yako bi.dada?Nitarudi kibonge mie
SalamaHabari yako bi.dada?
Naomba nikudokeze jambo bi.dada,kando kama hutojali lakiniSalama
OkayNaomba nikudokeze jambo bi.dada,kando kama hutojali lakini