WENYE KUFAHAMU KIINGEREZA MTUSAIDIE HAPA. Hili somo muhimu sana.

I have said this so many times
Ukiangalia nyuzi nilizo comment zinazohusiana na mijadala ukristu humu....Paulo ni ant christ

Hakuna barua au chochote alichoandika paulo naweza kukipa uzito
Nakusoma mkuu. Hapa anaongea priest mwenye elimu ya Biblia kwa miaka zaidi ya 25. Na anatoa maandiko ndani ya Biblia. Nu ukweli usiopingika
 
Biblia ni kitabu kilichoandikwa kwa kufuata mfumo wa hearsay na ndio maana kuna inconsistencies nyingi.
Cha ajabu wanaofuata hicho kitabu juu ya kuwa maandiko yako wazi kuwa PAULO mwenyewe katamka kuwa KASEMA UONGO. Bado wanadai ni mtume na nabii. PAULO ameua zaidi ya wafuasi wa kweli wa Yesu milioni 1. Leo wanatukana watu wanao onyesha ubaya wake.
Hii ndio imani yao.
Matusi kashfa na dharau ndio taratibu zao za maisha isipokuwa wachache sana wenye elimu na wale walio jiongeza..
 
Thank you for your honest response. Its very important to know the truth. No one can serve 2 masters. PAUL went against Jesus teachings. He hates True followers of Jesus. Look at all the evidence provided by the Priest here and still some people believe PAUL was a Self claimed prophet.
He never meet Jesus nor live with him. Yet 90% of new Testament is written by him.
Isn't that strange?
 
Biblia ni kitabu kilichoandikwa kwa kufuata mfumo wa hearsay na ndio maana kuna inconsistencies nyingi.
Mbali na inconsistent. Msikilize mchungaji hapo juu. Anatoa ushahidi wa UDANGANYIFU wa PAULO ndani ya maandiko ya BIBLIA na watu badala ya kusoma wenyewe wanafuata Blindly.
The man claimed to be a Liar yet we see people singing Praise for him.
Unbelievable
 
Ndio maana mi nasema imani ni upofu, kitu chochote kinachoanza na msingi wa imani kama ndio njia basi huo ni utapeli.

Imani ni dhana inayotumika ku-cover ukweli kwa kuzuia watu kufikiri.

Mtu yeyote akiwa na fikra huru hawezi kuamini hizi hekaya za dini na vitabu vyake.
 
Nakusoma mkuu. Hapa anaongea priest mwenye elimu ya Biblia kwa miaka zaidi ya 25. Na anatoa maandiko ndani ya Biblia. Nu ukweli usiopingika
Hekima ndio ilinijulisha hili
Nilijulishwa mara mbili nikapata kuelewa
Wachache sana wanaweza kuelewa nilichokiandika.

Asiyekuwa na Nuru ya Bwana hawezi elewa ninachokiandika

Paulo ni mpinga Kristu. Elimu yake maono yake yote ni ya kutunga. Uharibifu wake umeharibu kanisa leo hii. .
 
Tatizo uelewa wa lugha ya Malkia kwa walio wengi imewapita kushoto; badala ya kuomba watafsiriwe wanaleta vitu vya ajabu ajabu ILI kupotosha mada iliyokusudiwa...
Mimi niseme; iwekwe na tafsiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…