Wenye kujua machimbo ya Kahawa na Korosho tunaomba mtujuze

Wenye kujua machimbo ya Kahawa na Korosho tunaomba mtujuze

real hustler

Senior Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
143
Reaction score
204
Nawasalimu popote mlipo,

Kama ilivyokawaida kukosa pesa Kwa watu wengi na kuwa na idea nyingi za biashara, ndivyo ilivyo kuwa kawaida pia kuwa na pesa nyingi afu huna cha kufanya

Siku ya Jana nimeona Kwa vyombo vya habari zao la korosho kuuzwa mara mbili zaidi ya bei ya msimu uliopita
Pia nimeona wengi wakilichangamkia zao la kahawa.

Wenye kujua exactly maeneo wanayouza na mchanganuo wa hii biashara huwa ukoje.

Mfano nikiweka Million 10 mpaka msimu kuisha naweza pata hamna hamna kama shilling ngapi?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom