Wenye kuona mbali wameshaanza na wanaenda Kufanikiwa, ila kuna wengine hata Wazo husika tu halipo akilini mwao


JokaKuu ...hebu muelimishe
 
Huyo Kenya kawakuta Tunisia na Niger tayari ni members wa hilo baraza. Pitia vyema vyanzo vyako vya taarifa.
 
Kuna wakati huyu The Boss nilikuwa namwona Mtu Mmoja Smart sana Upstairs ila taratibu naanza Kugundua kuwa sasa IQ yake inaanza Kuchoka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti Kenya imejiunga!

Tafuta taarifa kamili kijana
 
Kwanini hujazitaja nchi zingine zote tu zilizopo Afrika na Wewe umewashwawashwa tu Kukimbilia kuitaja Tanzania na siyo Rwanda au Uganda pia?
We jamaa utakua unakalia kigogo sio bure.
Watu wa mji huo hawapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…