The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Usitukuze ujinga wenu, Tanzania wala nchi yoyote Afrika haijawahi kuingia kwenye Baraza la Usalama la UN kwa hiyo Kenya ndo ya kwanza kupata nafasi hiyo iliyogombaniwa na nchi nyingi ikiwemo India. Kenya sasa imeungana na zile nchi 5 zenye uanachama wa kudumu za USA, Urusi, Uingereza, Ufaransa na China lakini nafikiri bado kuna nafasi moja au mbili kuungana na Kenya kama hazijajazwa maana Ujerumani pia iliomba. Tanzania mpaka Kisukuma kitambulike UN ni lini kama Mayalla (Njaa) anaendelea kukosa uteuzi?
JokaKuu ...hebu muelimishe