Wenye kuona mbali wameshaanza na wanaenda Kufanikiwa, ila kuna wengine hata Wazo husika tu halipo akilini mwao

Wenye kuona mbali wameshaanza na wanaenda Kufanikiwa, ila kuna wengine hata Wazo husika tu halipo akilini mwao

Usitukuze ujinga wenu, Tanzania wala nchi yoyote Afrika haijawahi kuingia kwenye Baraza la Usalama la UN kwa hiyo Kenya ndo ya kwanza kupata nafasi hiyo iliyogombaniwa na nchi nyingi ikiwemo India. Kenya sasa imeungana na zile nchi 5 zenye uanachama wa kudumu za USA, Urusi, Uingereza, Ufaransa na China lakini nafikiri bado kuna nafasi moja au mbili kuungana na Kenya kama hazijajazwa maana Ujerumani pia iliomba. Tanzania mpaka Kisukuma kitambulike UN ni lini kama Mayalla (Njaa) anaendelea kukosa uteuzi?

JokaKuu ...hebu muelimishe
 
Usitukuze ujinga wenu CCM hapa, Tanzania wala nchi yoyote Afrika haijawahi kuingia kwenye Baraza la Usalama la UN kwa hiyo Kenya ndo ya kwanza kupata nafasi hiyo iliyogombaniwa na nchi nyingi ikiwemo India. Kenya sasa imeungana na zile nchi 5 zenye uanachama wa kudumu za USA, Urusi, Uingereza, Ufaransa na China lakini nafikiri bado kuna nafasi moja au mbili kuungana na Kenya kama hazijajazwa maana Ujerumani pia iliomba. Tanzania mpaka Kisukuma kitambulike UN ni lini kama Mayalla (Njaa) anaendelea kukosa uteuzi? Congratulations Kenya, the pacesetter!
Huyo Kenya kawakuta Tunisia na Niger tayari ni members wa hilo baraza. Pitia vyema vyanzo vyako vya taarifa.
 
Usitukuze ujinga wenu CCM hapa, Tanzania wala nchi yoyote Afrika haijawahi kuingia kwenye Baraza la Usalama la UN kwa hiyo Kenya ndo ya kwanza kupata nafasi hiyo iliyogombaniwa na nchi nyingi ikiwemo India. Kenya sasa imeungana na zile nchi 5 zenye uanachama wa kudumu za USA, Urusi, Uingereza, Ufaransa na China lakini nafikiri bado kuna nafasi moja au mbili kuungana na Kenya kama hazijajazwa maana Ujerumani pia iliomba. Tanzania mpaka Kisukuma kitambulike UN ni lini kama Mayalla (Njaa) anaendelea kukosa uteuzi? Congratulations Kenya, the pacesetter!
Kuna wakati huyu The Boss nilikuwa namwona Mtu Mmoja Smart sana Upstairs ila taratibu naanza Kugundua kuwa sasa IQ yake inaanza Kuchoka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti Kenya imejiunga!

Tafuta taarifa kamili kijana
 
Kwanini hujazitaja nchi zingine zote tu zilizopo Afrika na Wewe umewashwawashwa tu Kukimbilia kuitaja Tanzania na siyo Rwanda au Uganda pia?
We jamaa utakua unakalia kigogo sio bure.
Watu wa mji huo hawapo sawa.
 
Back
Top Bottom