Wenye Kupenda Kupiga Au Kusababisha Makelele Wana Asili Ya Umaskini

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041
Screenshot_20250924-193314_Google.jpg

Uchunguzi binafsi uliofanywa na Bey umegundua kwamba makelele ni sehemu na asili ya maskini,huko kwa watu mbao wana maisha magumu ndio wanapenda makelele

Nenda kwenye nyumba au makazi ambao wanaishi wenye hela huwa hakuna makelele kabisa,kule huwezi kukuta kuna Subwoofer,kule kuna Television za nchi 47 na kuendelea,utakuta shelf za vitabu

Hii maana yake nini huwa sio watu wa miziki ila hupenda kujisomea au kuangalia television,nayasema haya nikiwa na uzoefu na maeneo hayo,huko utakuta watu wanalipa kodi kwa mwezi si chini ya milioni 10, na kuendelea

Sasa njoo huku kwenye vyumba vya 40,000 au 25,000 utakutana na Subwoofer za hatar na lengo ni kupiga makelele kwakuwa ndio asili ya mtu mwenye maisha ya chini.

Mtu yupo peke yake Chumbani lakini atafungulia sauti mtaa mzima wasikie,kama sio kutaka kuwapigia watu kelele ni nini?

Kuna mwingine ukimuona kimuonekano unaweza hisi ana hela lakini kiasili ni maskini,ukimuona mtu anamiliki gari kisha anafungulia sauti ya mziki juu wakati ndani ya gari yupo mwenyewe ujue huyu hana hela,na kama anazo kwa wakati huo ujue ni za msimu kisha baadae zinapotea.

Na ukijiona wewe huna hela na maskini lakini hupendi makelele kama Bey,basi jua asili yako ni kuwa na hela ila zitachelewa tu ila utakuwa nazo, kwasababu hela hazipendi makelele

Wenye hela utaona mambo yao tu yanavyoenda kimya kimya bila kupiga kelele,ila sisi wenye chenji chenji ndio kutwa kutambiana sijui nimefanya hiki au nimeenda vocation sijui wapi au jana nilikuwa hotel fulani,yani ili mradi ni kupenda makelele tu

Kwahiyo next time ukiona mtu anapenda kupiga makelele iwe kwa sauti kubwa ya muziki,au kujigamba au kuwaonyesha wengine kuwa amejipata basi jua huyo ni maskini tu

Ni hayo tu!
 
Napinga hoja yako, samia na ccm wote licha ya makelele mengi ya kampeni na janja janja bado ni matajiri, achilia mbali Trump na Benja Nyau wa Israel...
 
Na sisi tunaopiga makelele mtandaoni kwa njia ya maandishi hii inatuhusu??

Ila lazima ituhusu matajiri hata mtandaoni hawapigi makelele, sisi maisha duni ndio sehemu yetu ya kupunguzia makali ya maisha.
 
View attachment 3478448

Uchunguzi binafsi uliofanywa na Bey umegundua kwamba makelele ni sehemu na asili ya maskini,huko kwa watu mbao wana maisha magumu ndio wanapenda makelele

Nenda kwenye nyumba au makazi ambao wanaishi wenye hela huwa hakuna makelele kabisa,kule huwezi kukuta kuna Subwoofer,kule kuna Television za nchi 47 na kuendelea,utakuta shelf za vitabu

Hii maana yake nini huwa sio watu wa miziki ila hupenda kujisomea au kuangalia television,nayasema haya nikiwa na uzoefu na maeneo hayo,huko utakuta watu wanalipa kodi kwa mwezi si chini ya milioni 10, na kuendelea

Sasa njoo huku kwenye vyumba vya 40,000 au 25,000 utakutana na Subwoofer za hatar na lengo ni kupiga makelele kwakuwa ndio asili ya mtu mwenye maisha ya chini.

Mtu yupo peke yake Chumbani lakini atafungulia sauti mtaa mzima wasikie,kama sio kutaka kuwapigia watu kelele ni nini?

Kuna mwingine ukimuona kimuonekano unaweza hisi ana hela lakini kiasili ni maskini,ukimuona mtu anamiliki gari kisha anafungulia sauti ya mziki juu wakati ndani ya gari yupo mwenyewe ujue huyu hana hela,na kama anazo kwa wakati huo ujue ni za msimu kisha baadae zinapotea.

Na ukijiona wewe huna hela na maskini lakini hupendi makelele kama Bey,basi jua asili yako ni kuwa na hela ila zitachelewa tu ila utakuwa nazo, kwasababu hela hazipendi makelele

Wenye hela utaona mambo yao tu yanavyoenda kimya kimya bila kupiga kelele,ila sisi wenye chenji chenji ndio kutwa kutambiana sijui nimefanya hiki au nimeenda vocation sijui wapi au jana nilikuwa hotel fulani,yani ili mradi ni kupenda makelele tu

Kwahiyo next time ukiona mtu anapenda kupiga makelele iwe kwa sauti kubwa ya muziki,au kujigamba au kuwaonyesha wengine kuwa amejipata basi jua huyo ni maskini tu

Ni hayo tu!
%75
 
Uliposema matajiri sio watu wa muziki tu nikajua hapa hamna kitu. Umeshindwa kutofautisha muziki na kelele?
 
Back
Top Bottom