Wenye kutaka tshirt za hatuchezi mbele mpambane na hali zenu tuwasiliane nbox

Wenye kutaka tshirt za hatuchezi mbele mpambane na hali zenu tuwasiliane nbox

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Kwa wana Yanga tu

Kuna tshirt za hatuchezi zinanza kutoka jmosi

Na mbele mpambane na hali zenu

Tuwasiliane nbox
 
Kwa wana Yanga tu

Kuna tshirt za hatuchezi zinanza kutoka jmosi

Na mbele mpambane na hali zenu

Tuwasiliane nbox
HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ATAVAA HUO UPUUZI. WAJANJA WACHACHE WAMEGUNDUA HIYO NI FURSA KUNA MAFALA WANAENDA KUPIGWA PESA KIFALA. SO WAMEKUJA NA HIYO IDEA KAMA KAWAIDA MTAJI WA MWENYE PESA UPO KWA MASKINI MPUMBAVU.
 
Kumbe Mashabiki wa Uto ni fursa namna hii? Kweli wajinga ndo waliwao.
 
Hakika Uza uza mkuu.

Usipotajirika Bongo kwa Wajinga na wapumbavu huwezi kutajirika popote duniani
 
Kwa wana Yanga tu

Kuna tshirt za hatuchezi zinanza kutoka jmosi

Na mbele mpambane na hali zenu

Tuwasiliane nbox
1000264220.jpg
 
Uthibitisho mwingine kwanini vijana hawapaswi kuongoza.
 
Watu wanacheza na fursa .wajinga wanaenda kuwatajirisha wajanja
 
Back
Top Bottom